Hivi viongozi wa nchi yetu kweli wanawatumikia wananchi au ni geresha

Rofa

Member
Sep 19, 2015
79
150
Nimeangalia tv ya Rwanda Rais wao akiwaonya wanyarwanda kwamba hatakubali mtu wa kurudisha nyuma nchi hiyo miaka 100 nyuma.Hivi viongozi wetu wanatupeleka mbele au nyuma.
Ili nchi ipige hatua lazina ujali muda ,kiongozi anaweza kujisifia kuwa amepunguza muda wa kutoka Kimara mpaka posta kutosa saa 2 mpaka dakika 20.Kutoka mwz mpaka Dar kutoka masaa 24 sasa ni masaa 8.Viongozi wetu kitu muda si muhimu.
Ebu swala la polisi kukusanya fedha eti gari limezidi 50km/hr ni ujinga uliipindukia.tunapanua barabara na kuimarisha miundo mbinu ili magari yakimbie.vibao vya 50km/hr havijawekwe kitaalamu na uwezii kujustify wana maana ngani?Watanzania tunarudishwa nyuma miaka 100 Iliyopita.Kinachofanywa na polisi na sheria kandamisi na kamera zao ,Tanzania itakuwa taifa la kufikirika .Pigeni kelele hakuna mtu kuendesha 50 kwenye majaruba ya mpunga,mateso ni makubwa .Naona tuwaite wakina Trump watusaidie.Au tuombe serikali ipige marufuku magari yenye kasi ya km 50km/hr yasiingizwe nchini.Ebu watanzania tuwe wazalendo.Polisi wa Tanzania wao ni roho mbaya kwa kwenda mbele.karibu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom