Hivi viapo vya mapenzi vina madhara?

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Waheshimiwa habari za usiku!

Ee bwana nina shida kidogo embu nisaidieni kuniweka wazi...

Kuna binti mmoja nina uhusiano nae kama mwaka hivi sasa katika mwanzo wa uhusiano wetu kama tuliapiana ile kwa maneno tu kwamba na kuahidi/apa kwa sintokuacha na ni kila mmoja alifanya hivo.

Sasa kiukweli mimi kwa sasa nipo bize sana na as you know as long as you are busy mapenzi nayo hupungua kwa kiasi flani, sasa huyu dada kila saa anapoona sipo responsive saana (japo kweli nina mpango huo wa kumuacha) amekuwa ananikumbusha kwamba kumbuka kiapo chetu.

Sasa im honestly asking je nikivunja huu uhusiano kuna shida na hii ishu ya kiapo cha mapenzi ni kitu real au myth tu?

Hahahahaaa wenginee kwelii
sina hakika mkuu
sema kama alikuwa nimtu wakujitoa sna kwako mpka kupelekea kuyaweka maisha yke mashakani kivyovyote vile
MZEE baba kama ukimuacha tarajia kupata laana
kumbuka laana sio mpaka uokote makopo yaweza kukukumba kwnye kipato chako ukajikuta unafilisika na kuwa mtu wa madeni mpka utatamani kulikimbia jiji
 
Hayo ni maagano katika Biblia tunaita maagano. Yatakucost popote uendapo mpaka yakavunjwe kwa utaratibu wa dini. Watu wengi leo tunatembea na laana za watu tuliowaacha, tulifanya nao maagano sasa tumejifanya wajanja tumesepa ila roho zao zinatulilia popote tuendako mwisho wa siku matatizo kibao yanatuandama
 
Na mm niongezee swali apo.
Je mkiamua kuvunja wote kwa kuelewana inakuaje?
 
Hayo ni maagano katika Biblia tunaita maagano. Yatakucost popote uendapo mpaka yakavunjwe kwa utaratibu wa dini. Watu wengi leo tunatembea na laana za watu tuliowaacha, tulifanya nao maagano sasa tumejifanya wajanja tumesepa ila roho zao zinatulilia popote tuendako mwisho wa siku matatizo kibao yanatuandama
To what extent this is true ?
 
Kiapo ni maagano na inafanya kaz Barbara sawa na nguvu ya msukumo wa upend na mapenz!!
Ziko shda nying zitokanzo na Viapo,'
Haijawai muacha mtu salama
 
Kiukweli itakugharimu kidogo kama miaka 4-6 shida utapata katika mahusiano kazi na mikosi usio taraji unapofanya agano lolote wawili basi ujue munguwenu ndiye shahidi kulivunja lazima apeleke faida upande ulio athirika think twice
 
Ili kuvunja agano sharti damu ya mwanakondoo imwagike na nyama yake ichomwe moto kama sadaka ndipo utakapokuwa umejinasua
 
sina hakika mkuu
sema kama alikuwa nimtu wakujitoa sna kwako mpka kupelekea kuyaweka maisha yke mashakani kivyovyote vile
MZEE baba kama ukimuacha tarajia kupata laana
kumbuka laana sio mpaka uokote makopo yaweza kukukumba kwnye kipato chako ukajikuta unafilisika na kuwa mtu wa madeni mpka utatamani kulikimbia jiji
Mungu wangu, Kweli Mkuu Huyu Mwanamke amenipa kila kitu chakee kwa upendo Mmoja sasa Nifanyeje?
 
Back
Top Bottom