Mkuu kiapo ni balaa utaharibikiwa kilakitu na kila by the way umepata kitu kipya nnHahahahaaa wenginee kwelii
sina hakika mkuuHahahahaaa wenginee kwelii
To what extent this is true ?Hayo ni maagano katika Biblia tunaita maagano. Yatakucost popote uendapo mpaka yakavunjwe kwa utaratibu wa dini. Watu wengi leo tunatembea na laana za watu tuliowaacha, tulifanya nao maagano sasa tumejifanya wajanja tumesepa ila roho zao zinatulilia popote tuendako mwisho wa siku matatizo kibao yanatuandama
Hakuna cha kuelewana wala nini. Ukiona mtu mambo hayaendi sio vibaya kutafuta location mpya.Na mm niongezee swali apo.
Je mkiamua kuvunja wote kwa kuelewana inakuaje?
Mungu wangu, Kweli Mkuu Huyu Mwanamke amenipa kila kitu chakee kwa upendo Mmoja sasa Nifanyeje?sina hakika mkuu
sema kama alikuwa nimtu wakujitoa sna kwako mpka kupelekea kuyaweka maisha yke mashakani kivyovyote vile
MZEE baba kama ukimuacha tarajia kupata laana
kumbuka laana sio mpaka uokote makopo yaweza kukukumba kwnye kipato chako ukajikuta unafilisika na kuwa mtu wa madeni mpka utatamani kulikimbia jiji
yap husababisha vifo vya aina ya kujinyonga ambavyo hutishia Tanzania yetuHahahahaaa wenginee kwelii