Hivi vazi la ndani (chupi) lina umuhimu gani kiafya?

Usipovaa pichu nguo inakawaida ya kubana katikati ya makalio, zaman tukiwa wadogo utasikia wanakwambia "nguo imeingia sandukuni"
 
Chupi ilitengenezwa kwa ajili ya akina mama wanaume tulidandia tuu! Haituhusu ndiyo maana watu wazamani hawakuvaa na wanawake walifunika mbele tu!
 
Hivi, Kazi ya chupi ni nini?

Ukivaa haijulikani, usipovaa haijulikani. Ikionekana unaambiwa umekaa uchi, ukiwa uchi utasikia hajavaa chupi. Sasa Chupi ni ya nini?

Ulikuwa unawaza nini,hadi ukafika huko kote??.
 
Kwa Kwel Nina muda mrefu Huwa hili vazi la ndani pendwa kufuli niliiacha kuvaa, maana nilikuwa naona joto na Huwa Sipendelei hasa kuvaa mavazi yanayobana mwili. Nikiwaeleza wenzangu Huwa wananishangaa Eti Kwanini sivai, nikiwaomba waniambie faida kwakwel zinakuwa porojo tu. Wadau Kama kuna anayejua faida zozote zinazopatikana kiafya kuvaa vazi hili naomba nielimishwe Ili niaze kulivaa rasmi kuazia sasa.

Wasalaam
Beef Lasagna
 
Kuna bwana mmoja alikuja jana na uzi wake akiwalalamikia nyie msiopenda kuvaa chupi, umuhimu wa kiafya nadhani inawapunguzia wanaume hamu ya kuwatamani pale mnapotembea au kuokota peni ofisini.
 
Back
Top Bottom