Hivi valentine kitaifa inafanyika wapi??

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,085
Reaction score
38,460
Leaders club?
Diamond jubilee?
Karimjee?
Mnazi mmoja??

Haahaha hivi namba one ameshatangaza mapumziko,,???am not sure c unajua mzee wa suprise!!
 
Gmorning!nyt!evening chagua uliokuwanayo
msiseme wa tz selfish
 
Chumbani kwako na mke wako au na hawara yako.
 
wametangaza itakuwa mwanakwerekwe
 
Leaders club?
Diamond jubilee?
Karimjee?
Mnazi mmoja??

Haahaha hivi namba one ameshatangaza mapumziko,,???am not sure c unajua mzee wa suprise!!

Valentine day kitaifa inafanyika chumbani kwako!
 
Leaders club?
Diamond jubilee?
Karimjee?
Mnazi mmoja??

Haahaha hivi namba one ameshatangaza mapumziko,,???am not sure c unajua mzee wa suprise!!

Kwa hapa Tanzania huwa Inafanyika Gesti au ktk Lodge au Mahotelini Kama Pale JB Belmount.
 
Tunasubiri taarifa ya Ikulu, siku ya Ijumaa tarehe 14 itakuwa siku ya mapumziko
 
Kwa wale wanaopenda kutoka mida ya jioni kupata chakula cha usiku pamoja.sio mbaya kama utampeleka mwandani wako sehemu nzuri japo kwa valentine hii.mkajisogeza pale blue rocky spur,mgahawa mpya unapatikana pale posta katika jengo la it plaza lilopakana na ppf tower.wewe na mpenzi wako mtapata glass ya wine bure pamoja na ua rose.siku hiyo ya valentine
 
Mwaka jana ilifanyika Moshi , mwaka huu Kilimanjaro .
 
nafikiri ni nyumbani kwangu karibu sana tandale kwa tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…