mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,217
taratiibu utaelewa
shukrani
shukrani
hata sijaelewa.
afu ngoja nikusikie!!
hata sijaelewa.
afu ngoja nikusikie!!
mapigo yake yanafanana sana na yule dada..
hapana sio mapacha kwani nimefanana naye?
Hata simjui kabisa huyo mtu rafiki. Labda nitajie
wasifu wake hapa ndani
inawezekana mna undugu hata wa mbali..maana hata miandiko yenu inafanana..na familia utokayo nae alikua familia hiyo hiyo
Wambie maana eti na Mentor naye kaenda #teamrafiki naanza kuwa na wasiwasi juu ya hii timu!!
ndio nimekumbuka mm ni mtoto wa shangazi yake
si yeye anaundugu na akina passionlady au siyo?
eee huyo huyo
we see her in you
Ukukosea kwani Mimi ni mdogo sana but Officially #Teambazazi Chearman ni kakamkubwa AsprinHebu KakaKiiza confirm hii kama wewe ndo mwenyekiti [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Teambazazi]#Teambazazi [/URL] .. Niliulizwa nikamtaja dagaa wakati kumbe papa upo lol..
Usiulize huyo mwanangu mwenyewe unategemea atakuwa team gani??piga mstari!!!!hivi ladyfurahia yupo team gani?!?!?!
nahisi tumepisshana kidogo maelewano hapa
kwanini mnaleta hiyo TEAMbazazi hapa?
Ha ha ha ha Lady niece.. Tatizo #mabazazi wamevamia kama nyuki hapa lol.. Hebu nieleweshe mie vizuri nikuelewe maana kusema ukweli sijaelewa na ninapenda kueleweshwa.. Na kama ninaweza kujiunga kwenye #teamrafiki
Ha ha ha ha Lady niece.. Tatizo #mabazazi wamevamia kama nyuki hapa lol.. Hebu nieleweshe mie vizuri nikuelewe maana kusema ukweli sijaelewa na ninapenda kueleweshwa.. Na kama ninaweza kujiunga kwenye #teamrafiki