Hivi utakuwa na team ngapi?

Hivi utakuwa na team ngapi?

teamrafiki ni team ambayo inajenga amani mshikamano
upendano zaidi, na kuhudumiana, hata kujaliana pia
inalenga uhuru wa mtu kufanya vile atakavyo ila kwa masharti
fuilani ya team hii, sijui mpaka hapo kama umenielewa vyema

Nimekuelewa ila hapo kwenye masharti filani ya team ndo pananitisha Lady niece.. Ufafanuzi zaidi wa hayo masharti..



i beg your pardon...........!?!!??!
uingie team gani tena!!!

Subiri mama watoto.. inawezekana ikawa saccos hii tukapata hela za watoto wetu kuanza vidudu miaka minne ijayo..

hivi akanana Paloma lini utamuacha mnywa Chibuku sosoliso?

Halafu Ruttashobolwa wanikumbusha ile hadithi ya fisi na mkono wa binadamu.. Paloma katu hatanisaliti hata kidogo..
 
Last edited by a moderator:
masharti ni madogo madogo sana kama yafuatayo:-
a) usiwe mtu unayetumia sigara na pombe
b) usiwe mtu unayependa kutenda dhambi
c) usiwe mtu ambaye ni mchoyo wa kupindukia
kila ukiombwa wewe unabania
d) usiwe mtu wa kupenda anasa na starehe zembe
e) usiwe mtu mwenye mazoea mabaya kwa member wenzako
mjengoni hapa na kuwatolea lugha utumbo.
f) usiwe mwepesi wa kumnong'oneza jirani yako umbeya usistahili
na mengineyo yafananayo na hayo

sasa hayo ni masharti magumu si mepesi kabisa mkuu


Nimekuelewa ila hapo kwenye masharti filani ya team ndo pananitisha Lady niece.. Ufafanuzi zaidi wa hayo masharti..



Subiri mama watoto.. inawezekana ikawa saccos hii tukapata hela za watoto wetu kuanza vidudu miaka minne ijayo..



Halafu Ruttashobolwa wanikumbusha ile hadithi ya fisi na mkono wa binadamu.. Paloma katu hatanisaliti hata kidogo..
 
masharti ni madogo madogo sana kama yafuatayo:-
a) usiwe mtu unayetumia sigara na pombe
b) usiwe mtu unayependa kutenda dhambi
c) usiwe mtu ambaye ni mchoyo wa kupindukia
kila ukiombwa wewe unabania
d) usiwe mtu wa kupenda anasa na starehe zembe
e) usiwe mtu mwenye mazoea mabaya kwa member wenzako
mjengoni hapa na kuwatolea lugha utumbo.
f) usiwe mwepesi wa kumnong'oneza jirani yako umbeya usistahili
na mengineyo yafananayo na hayo

sasa hayo ni masharti magumu si mepesi kabisa mkuu

Hebu fafanua hapo kwenye kifungu d.. starehe zembe ndo ipi hiyo Lady niece..?
 
Last edited by a moderator:
kiufupi usiwe mtu wa michepuko..uwe na mpenzi/mke anaeeleweka sio leo kwa huyu kesho yule...inshort #teamRafiki iko kimaadili zaidi

Basi mie ninafit kabisa hapo Mwalu.. nina mke mmoja tu Paloma ambae anaeleweka na ana heshima kubwa hapa mtaani.. Tuna kapu zaidi ya mia yamejaa maadili.. Zaidi ya yote nina uwezo wa kusema no..
 
Last edited by a moderator:
karibu sana #teamRafiki inayofuraha kukupokea wewe na familia yako...sera ya kuepuka michepuko ndo sera kuu ya teamrafiki....ni kwa afya ya mwili na roho
Basi mie ninafit kabisa
hapo Mwalu.. nina mke mmoja tu
Paloma ambae anaeleweka na ana heshima kubwa
hapa mtaani.. Tuna kapu zaidi ya mia yamejaa maadili.. Zaidi ya yote
nina uwezo wa kusema no..
 
Last edited by a moderator:

hata mimi sina timu babe Paloma!!
nashangilia tu!!ukiskia usiniumizieeee
ujue ni mimi!!cc Ruttashobolwa, sosoliso!!
Excel analijua hilo!!


babe sosoliso huyo we muache
njoo na sie tufanye yetu!!


nikubali wapi?anipe
talaka yangu tu nijimuvuzishe
kwa sosoliso mie!!staki presha!!


nani akushee wewe baby ake na mimi?aaakhaaa
nataka talaka yangu!! Baba V tafadhali!!

Babe Passion Lady huu ni uamuzi wako wa busara zaidi kuliko mwingine wowote uliouwahi kuutoa.. Baba V tafadhali fanya yanayotakiwa hapa..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom