Hivi utakuwa na team ngapi?

Ahaaa tena kweli ile mechi tunatafuta wadhamini ila itachezwa tu vipi unataka upangwe katika first eleven nini??Au nibadiri Aidii Kama walivyofanya akina naniriyuu!Jirani zako wazamani!!

fanza mambo bazazi. Hakuna kulazia damu hawa watoto marafiki. bazazi mmoja ana nguvu ya kushughulikia virafiki 40. Tii kiu yako kwa faida ya ubazazi. Piga bila kuvaa gloves!!!!
 

are you mapacha with ladyfurahia?
long time no see
 
Last edited by a moderator:
hapana sio mapacha kwani nimefanana naye?
Hata simjui kabisa huyo mtu rafiki. Labda nitajie
wasifu wake hapa ndani

bestito ndiyo ilikuwa kauli yake.
halafu akaingia kwenye kambi ya mabazazi..
wakamvuruga akili afu akataka hadi kujitoa roho.

mi simjui vizuri sana ila nakumbuka teambazazi hapa.
 
yaani simjui kabisa ndo kwanza nasikia kwako
labda wakati mm sipo jf alikuwepo


bestito ndiyo ilikuwa kauli yake.
Halafu akaingia kwenye kambi ya mabazazi..
Wakamvuruga akili afu akataka hadi kujitoa roho.

Mi simjui vizuri sana ila nakumbuka teambazazi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…