hivi my akananas Passion Lady na Paloma wao ni timu gani?
hahahaaaa!! mkuu angalia mkuki kwa nguruwe! Passion Lady nawe atapewa kizizi na kidume kingine ubaki kulia!
kwanza amekubali kuwa na Paloma?
Asiwape shida Huyo!
Dawa yake Ni kumteka tu! Liwalo na liwe!
hivi bunge linaisha lini?!?!?! unajua silali mie usiku, mapacha wanamtaka baba yao!!! rudi bana!!! mtu mwenyewe unasinzia tu bungeni!!!
ngoja tumpe muda ajirudi labda atafuta kauli yake
hahahahaaaaa
loya Ruttashobolwa mambo vipi???
mie sina timu! nashangilia magoli tuuuuuu!!!!
mwambie hivyo Excel
cc sosoliso Passion Lady
babu Asprin huyo ametuchafua #teamrafiki so ndio tunamwambia aombe radhi la sivyo ama zetu ama zake.Nani huyoooo!!!!
heri umemuonya!!!
babu Asprin huyo ametuchafua #teamrafiki so ndio tunamwambia aombe radhi la sivyo ama zetu ama zake.
Lazima tuonyeshe mfano. Kondom tupa kule.
Ngoja nianze kujipanga
eleweka basi wewe honeyto wa nani bana!!
huoni ruttashoblwa anaku-loveee!!?
Palomaaaaaaaaaaaaa!!!!! excel missed youuuuuuuuuuuu!!!!!
kwanini unapotea potea kama umeme wa tanesko bana?
sometimes uwe unasema lini unakuwa kwa hewa bana!!
we anza kula tizi kabisa make sure push up kwa sana.
shida iko wapi kwani................mwenyewe alojaza nafasi anajijua. sijui kwa nini wewe huelewi?!?!?
nipo sana tu mwenzako nalea mapacha wako tumboni bado..........sema wakiniamulia sifurukuti ng'oo
niko tu interested kujua aliyerutubisha hao twins! sosoliso mbeba vyuma ama Ruttashobolwa mwana sheria?
Ila chairman to chairman sini ruhusa kubadilishana mawazo? Kwanza watu wa #teambazazi inabidi wapewe premium membership as chairman wa #teambazazi nawaombea watu wangu hasa huyu Secretary General Asprin
itakuwa vizuri mimi nishaanza mwezi wa pili sasaBasi ngoja leo nikalipie gym kabisa ili nipate training nzuri