Hivi utajisikiaje na utaamua nini?

Hivi utajisikiaje na utaamua nini?

jamiif

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
2,413
Reaction score
995
Ndugu zangu mnaonipa maujanja ya maisha...habari zenu!

Jamani, hivi utajisikaje na kuchukua hatua gani iwapo wakati mko kunako 6x6 kwenye tendo la faragha mwenzio anaweweseka wakati wa tukio huku akitaja jina la dada mwingineo halafu mwenzako anaweweseka huku anataja jina la dada mwingine (kwa wanawake) au la mwanaume mwingine (kwa wanaume). Tushauriane, ni namna ipi uta handle situation kama hiyo na ni maamuzi gani yapasa kuchukuliwa?

Asanteni sana.
 
Inategemea na mahusiano yenu mpaka mkafika hapo kunako sita kwa sita,kama anataja jina la mtu mwingine kwanza ujue umemkoleza kwa utamu ndio maana kapagawa na kama ndio umekutana nae unaweza kubadili gemu kwa kumwambia akuite jina lako na kuanzia siku hiyo ni wewe tu,pili kama ni mkeo basi hapo hakuna cha kusubiri ujue mali zako zinaliwa tena kwa hali ya juu,uamuzi ni kichwani mwako maana kila mtu ana akili zake.
 
si mnajua ulimi hauna mfupa? umeteleza huo, endelea kuchapa/kuchapwa
 
nami nitatana jina la demu mwengine wakati nakojoa na nitamuomba tigo ili tuachane kabisa
 
ndoa ni uvumilivu, vumilia tu ndio maana mkafunga ndoa naye nje ya hapo utavunaja ndoa kila kukicha lakini mwisho wake ni kufa kwa ukimwi
 
mi ningefurahi niaje aisee na mimi nataja la kwangu ngoma inakuwa drooooooo
 
Ndugu zangu mnaonipa maujanja ya maisha...habari zenu!Jamani, hivi utajisikaje na kuchukua hatua gani iwapo wakati mko kunako 6x6 kwenye tendo la faragha mwenzio anaweweseka wakati wa tukio huku akitaja jina la dada mwingineo halafu mwenzako anaweweseka huku anataja jina la dada mwingine (kwa wanawake) au la mwanaume mwingine (kwa wanaume). Tushauriane, ni namna ipi uta handle situation kama hiyo na ni maamuzi gani yapasa kuchukuliwa? Asanteni sana.
That is means he/she has being cheating on you.
 
Muulize vzr akueleze why ataje jina la m2 mwingine kitandan, na ikiwa n furaha why asitaje jina lako??
 
Back
Top Bottom