Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Dec 7, 2011 Thread starter #61 .....>tabia ya kumlazimisha mkeo kutafuta mabeki tatu warembo?.......>tabia ya kuwaonea wivu mbwa wanapofanya mapenzi?.......>tabia ya kuiga style ya dog ya kufanya malovey dovey?
.....>tabia ya kumlazimisha mkeo kutafuta mabeki tatu warembo?.......>tabia ya kuwaonea wivu mbwa wanapofanya mapenzi?.......>tabia ya kuiga style ya dog ya kufanya malovey dovey?
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 895 Dec 7, 2011 #62 Degedege said: tabia ya kulala uchi eti kisa kuna joto Click to expand... Kuna watu humu jamvini wanalalaga ivo. Kisa joto.
Degedege said: tabia ya kulala uchi eti kisa kuna joto Click to expand... Kuna watu humu jamvini wanalalaga ivo. Kisa joto.
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,018 Dec 7, 2011 #63 Tabia ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa
Sniper JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 2,008 Reaction score 950 Dec 7, 2011 #64 Tabia ya kupenda kupekuapekua simu ya mpenzi wako, utapata presha siku, shauri yako!
GIUSEPE JF-Expert Member Joined Mar 8, 2011 Posts 209 Reaction score 80 Dec 7, 2011 #65 Tabia ya kusema "hakunaga"
Utamaduni JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 1,279 Reaction score 600 Dec 7, 2011 #66 ....... Tabia ya kuogopa KUFA wakati unajua Lazima siku moja Utakufa tuu
Tz-guy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 436 Reaction score 88 Dec 7, 2011 #67 Tabia ya kusoma chuo wakati ajira hamna.
Wa Nyumbani JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 438 Reaction score 67 Dec 7, 2011 #68 Tabia ya kucheka unapochekeshwa...kulala unaposikia usingizi...kula unaposikia njaa...
Daffi Jr JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 3,824 Reaction score 909 Dec 7, 2011 #69 Taabia za kujamba wakati unakuny@
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,018 Dec 7, 2011 #71 .....Tabia ya uko njiani ukielekea kujiuwa kwa kamba halafu unakutana na simba au chatu njiani unatoka mbio huku ukilia.........
.....Tabia ya uko njiani ukielekea kujiuwa kwa kamba halafu unakutana na simba au chatu njiani unatoka mbio huku ukilia.........
M Mateka Senior Member Joined May 2, 2011 Posts 131 Reaction score 41 Dec 7, 2011 #72 Tabia ya kumwaga ndani............
Mr.Professional JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,582 Reaction score 258 Dec 7, 2011 #73 ..............tabia ya kupost kwenye thread hii?
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,771 Dec 7, 2011 #74 Jaguar said: ....................tabia ya kuoga uchi? Click to expand... serio kapita
Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Dec 7, 2011 Thread starter #75 Ngalikihinja said: .....Tabia ya uko njiani ukielekea kujiuwa kwa kamba halafu unakutana na simba au chatu njiani unatoka mbio huku ukilia......... Click to expand... Kwikwikwiiih!
Ngalikihinja said: .....Tabia ya uko njiani ukielekea kujiuwa kwa kamba halafu unakutana na simba au chatu njiani unatoka mbio huku ukilia......... Click to expand... Kwikwikwiiih!
Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Dec 7, 2011 Thread starter #76 .....tabia ya kukaa kibarazani kubishana kuhusu nani ni tajiri zaidi hapa Tz wakati nyinyi wenyewe ni maskini wa kutupwa.
.....tabia ya kukaa kibarazani kubishana kuhusu nani ni tajiri zaidi hapa Tz wakati nyinyi wenyewe ni maskini wa kutupwa.
THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 Dec 7, 2011 #77 Tabia ya kupenda uwe tajiri wakati wewe ni mvivu no. 1