Hivi utaacha lini hiyo.................

..... tabia yako ya kuitika unapoitwa.
 
Jagu.........tabia ya kuishabikia C.C.M wakati wewe ni kijana na ume-elimika?[/QUOTE]

Tabia ya kuchekesha watu...
 
....tabia yako ya kujichekesha kila wakati eti kisa una mwanya.
 
....................tabia ya kuoga uchi?

mi huwa naoga na nguo zangu. Si unajua vyoo vya vijijini anaweza akadondokea nyoka ndani mtu mzima ukatoka bila nguo. Lol.
 
mi huwa naoga na nguo zangu. Si unajua vyoo vya vijijini anaweza akadondokea nyoka ndani mtu mzima ukatoka bila nguo. Lol.
Bac we uner tabeer nzoor!
 
tabia ya kulala uchi eti kisa kuna joto
 
Tabia ya kusali kabla ya kula halafu baada ya kula na kushiba haushukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…