Hivi utaacha lini hiyo.................

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
....................tabia ya kuoga uchi?
 
Kuwataman wadada huku mkiwaita viunde duni & dhaifu.
 
tabia kwa wanaume kukojoa huku tumeshika uume wetu. Nalog off
 
kuwa na maisha mazuri unapokuwa na pesa. Nalog off
 
.........tabia ya kuishabikia C.C.M wakati wewe ni kijana na ume-elimika?
 
.......tabia ya kusubiri gari liondoke halafu ndo unajifanya kudandia?
 
Tabia ya kushinda JF muda wote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…