Hivi usingekuwepo IKIMWI hali ingekuwaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi usingekuwepo IKIMWI hali ingekuwaje??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gosbertgoodluck, Mar 7, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Ni uchokonozi tu! Lakini nashindwa hata kufikiria manake pamoja na kuwepo kwa ukimwi, bado ngono inafanywa tena 'ngono zembe' waziwazi tena kwa sana kana kwamba haupo.
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Gosbert hebu rekebisha hiyo title kwanza halafu nitarudi
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Nimeshindwa kurekebisha.
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Ndo shida ya mobile haya nitachangia tu hivyo hivyo.

  Sidhani kama kungekuwa na tofauti sana maana sheria zipo ili zivunjwe.

  Na Mungu aliweka toba sababu anajua watu watakosea so sio rahisi sana watu wasikosee

  Ni hayo tu nasikia usingizi
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Watu wangeogopa Mimba tu!
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 180
  Usingekuwepo ukimwi ungekuwepo ugonjwa mwingine.
   
 7. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 568
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ule msemo wa nzi kufa juu ya kidonda si hasara usingekuwepo na naona ingekuwa full kujiachia zaidi. then kwa sasa wazazi huwakataza watoto ngono zaidi kwasababu ya ma/ugonjwa, sasa kama ya/ungelikuwa haupo sijuwi hata wangeanzia wapi?
   
 8. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,564
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Usingekuwepo watu wangekuwa wanatelezaa tu shwaaaaaaaa kama wamekanyaga ganda la ndizi
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,087
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  ajali kazini lol
  ndo misemo siku hi zi ...
  kwa hiyo watu hawaogopi sasa ...
  ingekuwa balaa kama hamna ngoma...
  nyumba ndogo kumi kumi
   
 10. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haya just imagine kama saa hizi ni fully kujiachia. Usingekuwepo ingekuwa full kujimwaga yaani.. katoka juma, athumani hajali naye anaingia tuu....
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,619
  Likes Received: 35,550
  Trophy Points: 280
  Na mafua madogo madogo wasingeyaogopa Lizzy?
   
 12. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hehehhhehe .... usinge kuwepo ukimwi hali ingekuwaje????:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
   
 13. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,034
  Likes Received: 2,640
  Trophy Points: 280
  Kuna mtoto mmoja mzuri acha kabisa kule Arusha nilimla kwa k.on.d.om, iliniuma sana huu ukimwi ulinyima raha full, nauchukia sana. Halafu demu mwenyewe alikuwa hana neno!
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,087
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  Duuuuhhh:A S 13:
   
 15. C

  Capitalist Senior Member

  #15
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ukimwi usingekuwepo ingekuwa raha zaidi coz kondom ni karaha tu, zinatunyima raha.
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,087
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  Pole my dear kama
  Umechoka kula pipi kwenye karatasi
  ya nailoni
  Funga pingu za maisha..
   
Loading...