Hivi ushawahi mchukia mtu?


@Kìjino dawa ya muongo mkubalie anachosema. hapo utakuwa umemkomoa. . . . .
 
Madame B naye inaonekana amefika kwa mwansheria uchwara, hasikii haambiwi !!!

Hv unakumbuka kipindi kile mlivyokuwa mnanigombea?
Sasa punguza wivu dogo.
Au unataka Mitala ya Kiume?
Karibu.
 
Last edited by a moderator:
kuna mtu humu namchia ajabu, hata nikiona thread zak nahisi kuboreka!
 
Niniiii!!!
Mwanasheria Uchwara?
Pale nimefika,cjaona mwingine,
au unan'taka?
akutake nani? ! nishakusahau hapa natafuta wa kujiweka kwake, halafu kuna mdada fulani hapa chitchat nampendaga sana, karibuni nitamfungukia...
 

Mmmh, kizazi cha dot.com!
 
akutake nani? ! nishakusahau hapa natafuta wa kujiweka kwake, halafu kuna mdada fulani hapa chitchat nampendaga sana, karibuni nitamfungukia...

Najua ni mimi tu unaeniongelea.
Ila Sikutaki,
 
mi hata mtu akiniudhi cmchukii ila ntampotezea mbaya mpaka mwenyewe ajistukie
 
"alikua ananisingizia , wakati mi wanaume hata sijawajua" (CUOTE)
Swali - sasa hivi ushawajua ?
 
"alikua ananisingizia , wakati mi wanaume hata sijawajua" (COUTE)
Swali - sasa hivi ushawajua ?

Itakuwa ashawajua,mpaka kawa Mkufunzi,
Ila mimi nina hamu ya kuwajua wanaume!!
Maana siwajui hata.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…