Hivi ushawahi mchukia mtu?

Hivi ushawahi mchukia mtu?

Siri Sirini

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
547
Reaction score
199
Mimi kwa upande wangu nishawahi kumchukia mmama mmoja ambaye alikuwa analeta maneno ya uongo kwa mama yangu, kuwa kijino anawanaume ni malaya, kipindi hicho nipo form 1 hata wanaume cwajui, yani nilimchukia, ckuongea naye mpaka anafariki, na hata kwenye mcba ckuenda, ingawa alikuwa ni family friend, ingawa kuna wengine bado nawachukia mno, vp wewe mwana jf, kuna mtu unayemchukia mno?
 
Pole sana Mpendwa!
Bila shaka kuna haja ya kusamehe usiwe na roho ya namna hiyo jamani kwani maandiko hayataki hivyo.
 
kwenye siasa ni wengi tu ninawachukia....

personally ni wengi tu nina hasira nao...
 
Wewe mwanamahesabu fanya kweli muulize madame b kama ni nani kati yangu na yule bushlawyer mume wa madam? Usione aibu kumuuliza bhana.
 
Wewe mwanamahesabu fanya kweli muulize madame b kama ni nani kati yangu na yule bushlawyer mume wa madam? Usione aibu kumuuliza bhana.
Madame B naye inaonekana amefika kwa mwansheria uchwara, hasikii haambiwi !!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mpendwa!
Bila shaka kuna haja ya kusamehe usiwe na roho ya namna hiyo jamani kwani maandiko hayataki hivyo.

dah! Kwangu inakuwa ngumu, unajua kitu kama si chakweli kinauma sana? Sasa sijui alikuwa anaona sifa
 
Mi sipendi kujipa stress za design hizo...ukinizingua nakutupia kwenye dustbin then basi!
 
Mimi huwa namuignore mtu, maana nitampa faida sana kwa kutumia energy yangu kumchukia.
 
Mimi huwa namuignore mtu, maana nitampa faida sana kwa kutumia energy yangu kumchukia.

Energy = Nishati................Nakuunga mkono, na matatizo yote ya nishati nchini kwa nini umpe mtu faida ya bure!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom