uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,090
Hii inakuwaga tofauti kwa mbwa sijui wanyama wengineAcha izo mambo mkuu, kwa mwanamke kuwa na wanaume wengi uyo ni umalaya. Embu tizama ata kwa wanyama, jogoo anaweza akawa ata na dike 6 ila kamwe hauto kuja kumuona kuku dike yuko na jogoo 6.... Ni hayo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
