Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,115
- 6,827
habari za mchana huu wana JF,
Mafundisho mengi tunahimizwa kuwa mwanaume anapaswa kuwa na mke mmoja, na kama akizidisha basi atakuwa ni mdhambi(ktk imani za kikirsto), swali langu hua najiuliza kama kweli ni dhambi mbona mitume na manabii waliokuwa na imani kubwa na waliopendwa zaidi na mungu kwa nini walikuwa na mke zaidi ya mmoja mfano ibrahim alivolala na mjakazi wake ili apate mtoto, piah kwa Suleiman ambae alimiliki zaidi ya wanawake 1000. lakini bado mungu aliwapenda manabii hawa, naombeni nieleweshwe kwa mwenye uelewa zaidi kuhusu hili?!!
karibuni kwa maoni yenu:-
Sent using Jamii Forums mobile app