Hivi unawezaje kuhimili hili?

Trinity

JF-Expert Member
Jul 20, 2017
1,712
3,224
Nawasalimu Kwa salamu zote halali, niende direct!

Hiviii, unajisikiaje unatafuta pesa Kwa shida, unahifadhi taasisi za kifedha au baada ya kazi ngumu posho inapitia moja ya taasisi ya kifedha.

Inatokea siku unaenda kufuatilia baadhi ya huduma kuhusu AC yako, unakutana na customer care chafu, inakujibu as if mtuhumiwa upo central.

Unahisi labda ni tawi moja lenye huduma mbaya unaenda mkoa mwingine unakutana na aina Ile Ile ya wahudumu.

Hivi hii inanikuta mimi pekee?
 
Badilisha taasisi nenda taasisi zenye weledi, customer care kujibu shit kuna uhusiano waa moja kwa moja na maslahi duni
 
Kuna dada mmoja reception alifanya hadi nikamuambia "We unaliw... nini?" kwa sauti ya juu watu wote pale bank mapokezi wakanigeukia ikabidi niondoke zangu baada ya kuona walinzi wanaanza kujivutavuta... Nilichukia sana kufanywa kama ninaenda kuomba hela zangu.
 
Achana na hao mbwa nenda kafungue account Equity Bank utakuja kunishukuru
 
Back
Top Bottom