Hivi unaweza kumvumilia mpenzi wako kwa hili?

Labda alikua anajua unamskia, kwahiyo alitaka tu ujumbe ukifikie.

Na hata labda huna hayo mambo ya kike ni vile tu anakuchapa panapouma ili ulegee akuendeshe, we kazia hapo hapo haina kulegeza wacha aendelee kusema una mambo ya kike ivo ivo.
Daaah! Jamaa inaonekana una roho ngumu mno, you don't care at all nimekusoma, nimeona sio wa kawaida mzee
 
Hello, kila mtu anapitia magumu au amewahi kupitia katika mahusiano yake. Je, unaweza kuvumilia ukijibanza sehemu na ukasikia demu wako anaongea na mdogo wake wa kiume, na katika maongezi ukasikia anasema "na huyu shemejio mambo yake ni kama mwanamke mwenye mimba, ana mambo ya kidemu mno".

Je, utakausha?
Sasa wewe ulisha mgegeda shida iko wapi. Wanawake ukishawala mbususu maneno hawakosi cha msingi wee ulishamla unaenda tafuta mbususu nyingine.
 
Hello, kila mtu anapitia magumu au amewahi kupitia katika mahusiano yake. Je, unaweza kuvumilia ukijibanza sehemu na ukasikia demu wako anaongea na mdogo wake wa kiume, na katika maongezi ukasikia anasema "na huyu shemejio mambo yake ni kama mwanamke mwenye mimba, ana mambo ya kidemu mno".

Je, utakausha?
Ndio ubadilike uache ghubu!!!
 
Ukute una visirani na masharti kibao
 
Hello, kila mtu anapitia magumu au amewahi kupitia katika mahusiano yake. Je, unaweza kuvumilia ukijibanza sehemu na ukasikia demu wako anaongea na mdogo wake wa kiume, na katika maongezi ukasikia anasema "na huyu shemejio mambo yake ni kama mwanamke mwenye mimba, ana mambo ya kidemu mno".

Je, utakausha?
Hapo dawa ni kwenda tu gengeni! Kanunue malimao, ndimu na ule udongo mwekundu. Ukifika home kaa mbele yao, halafu igiza kama mwanamke mwenye mimba vile!

Wakikuuliza kulikoni? Wafanyie hivi 😏!! Haki ya nani hawatakuja tena kukusengenya.
 
Hello, kila mtu anapitia magumu au amewahi kupitia katika mahusiano yake. Je, unaweza kuvumilia ukijibanza sehemu na ukasikia demu wako anaongea na mdogo wake wa kiume, na katika maongezi ukasikia anasema "na huyu shemejio mambo yake ni kama mwanamke mwenye mimba, ana mambo ya kidemu mno".

Je, utakausha?
Tatizo lako Jana Ulirudi Usiku ndio maana demu anazingua
 
Kwa hiyo umejibanza ili umsikilize demu wako akiongea na simu.

Halafu alivyosema una tabia za kike umekuja kufungua uzi JF.
 
Back
Top Bottom