Hivi unaweza kuipata simu iliyoibiwa

WIMICKY

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
1,428
1,571
Habari wakuu hivi mfumo wa hapa nchini wa sasa unaweza kuipata simu iliyoibiwa kama unavielelezo vya simu yako mf list imei namba. msaada tafadhari maana nimepiga voda nimeambiwa niende police ndo wao wanaweza kutoa msaada kwa 100% kwa ambae aliwahi poteza na akafanikiwa ningependa kujua alipitia hatua zipi nisije poteza muda wa kuanza kufuatilia police
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom