Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 11,626
- 22,004
Hapo kwa mkapa inavyoonekana toka mama Samia aingie madarakani hamna kipa aliefungwa magoli mengi kama aishi manulaYani lile shambuliaji lilivoingia na ule mpira kwa staili ile,nami nikajua tu hili jitubaya pale haliwezi kukosa hata kidogo,ilionekana tu lile jitu lishazoea kufunga magoli kwenye ligi kubwa,niliona tu jinsi miondoko yake ilivyo ya kizoefu Mara likafumua kwa ufundi lile gozi,binafsi nimefurahi ule upigaji wa ule mpira ulioenda nyavuni,ijapokuwa inauma kupigwa...sisi kila siku tutakua ni watu wa kujifunza tu...