Hivi unamtoaje Israeli Patrick Mwenda na kumuingiza Beki mbovu Kibwana Shomary? Kwa hasira nashangilia Benin kwa sasa

maexpert wa mtandaoni washaanza kushusha nondo, mtu hujawahi kucheza hata timu ya darasa unajifnya kumchambua kocha wa timu ya taifa loh!
 
Benin wako bora zaidi yetu, naona umefika muda wazee wote Taifa Starz wastaafishwe kwa manufaa ya taifa, hao kina Kibu Denis ndio wachukue nafasi.
kinda kibu denis alihamia akiwa na miaka 6 mwaka 1996 Amezaliwa 2000 ana miaka 21...siku anatambulishwa hadi mitandao Ya kijamii ilizima kwa mshangao.
 
Popoma upumbavu huwa haukutoki licha ya kuwa umekua sasa..
Btw mchezaji wa simba katuchoma tena sijapenda kabisa manura awekwe benchi sasa.
Hili ni shuti la ngapi la mbali anafungwa?
 
Nyie mnaosema mwenda kacheza vizuri mpira mliangalilia wapi?
Ukweli ni kuwa mwenda pia nae alizidiwa sana half time mipira ilikuwa inapita kwake hata lile shambulizi walilotukosa kosa lilipita kwa mwenda.

Manura kwa sasa awekwe benchi kwani amekuwa akifungwa mashuti ya mbali hovyo.
Tumewazidi Benin kila kitu wao walikuwa wanazuia zaidi ila wamefanya kweli nafasi moja waliyopata. Na ubovu wa manura unachangia.

Kocha Kim tukiendelea nae hivi atatusaidia sana.
Mastriker wetu wajitafakari kwa kweli maana wametukosesha ushindi.

Wabongo tunajifanya wajuaji sana kama hilo popoma. Na menzie wakati hayana hata diploma ya soka.
 
Pia inaonekana timu haiko organised
 
Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo.

Kudadeki bora tufungwe tu Benin na kuanzia sasa nashangilia Benin. Mtu kama Feisal Salum ( Fei Toto ) anaharibu na Kurukaruka tu lakini hatolewi.

Nitashangilia Taifa Stars pale tu katika First Eleven wakiwepo Wachezaji wa Simba, Azam, Namungo na siyo wa Yanga SC ambao ndiyo Wametufungisha leo kwani hawajui Mpira.

Kocha Paulsen afukuzwe / aondoke.

Mm naona Taifa star leo haikuwa na bahati
 
Pumbavu mkubwa wee! Hata timu ya darasa lako hujawahi kufikiriwa unawazaje mambo ya kitaifa kama siyo kichaa kimepanda kichwani!
 
Hata hivyo tuna kipa pazia kwa kweli! Benin wameshambuliwa sana ila kwa kuwa wana kipa bora hawajaweza kufungwa! Yule kipa wetu ni shati pia
Kazi aliyoifanya manula hujaiona..? Tumia akili yako sawa sawa. Acha ushabiki maandazi. Beki zilipwaya mpigaji akaliona lango.lote na akapiga mkwaju sehemu mbaya kwa kipa afu una amka na ushabiki wako eti hatuna kipa .?
 
kiufupi leo lawama ziende kwa wachezaji sio kocha kama wangekuwa makini wangeshinda hata goli tatu

ila ndo football nadhani hata tungewafunga benin wanaonekana wana timu bora kuliko sisi na wanastahili zaidi wao ama congo kwenda top 10 sie bado ila tunajitahidi tuongeze bidiii na tuzidi kuwekeza katika vijana
 
Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo.

Kudadeki bora tufungwe tu Benin na kuanzia sasa nashangilia Benin. Mtu kama Feisal Salum ( Fei Toto ) anaharibu na Kurukaruka tu lakini hatolewi.

Nitashangilia Taifa Stars pale tu katika First Eleven wakiwepo Wachezaji wa Simba, Azam, Namungo na siyo wa Yanga SC ambao ndiyo Wametufungisha leo kwani hawajui Mpira.

Kocha Paulsen afukuzwe / aondoke.
Hata kipindi cha kwanza alipokwepo huyo Mwenda, Benini walifanya mashumbulizi mengi sana tena ya hatari kuliko hata kipindi cha pili lakini Manula alifanya kazi ya ziada kuokoa michomo. Acha kuwa na mahaba na mchezaji mmoja mmoja. Wewe mpumbavu wa JF
 
Tanzania tuache visingizio, mpira wetu ni mdogo. Huyu Manula naona hii mipira ya mbali inamsumbua sana. Sasa msimamo ulivyo ina maana tuna hali ngumu sana:

1. Benin
2. Congo DR
3. Tanzania
4. Madagascar

Na mechi ijayo tutakuwa wageni wa Benin ambao sasa watacheza kwa kujiamini sana.
 
Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo.

Kudadeki bora tufungwe tu Benin na kuanzia sasa nashangilia Benin. Mtu kama Feisal Salum ( Fei Toto ) anaharibu na Kurukaruka tu lakini hatolewi.

Nitashangilia Taifa Stars pale tu katika First Eleven wakiwepo Wachezaji wa Simba, Azam, Namungo na siyo wa Yanga SC ambao ndiyo Wametufungisha leo kwani hawajui Mpira.

Kocha Paulsen afukuzwe / aondoke.
Usimba unakuchanganya kocha siyo mjinga kufanya mabadiliko hayo .Wacha kocha afanye kazi yake kwa uhuru
 
Sijawahi kuona ukabaji mbovu kama ule

Kamuachia striker goli zima aamue wapi pa kupiga

Haya ndio madhara ya kuwa na wachezaji kwenye timu ya taifa ambao hawajawahi hata kucheza raundi ya pili ya kufuzu CAF champions league.
Mtapata tabu sana na Simba yenu.Ugonjwa huo mtaugua kwa kipindi kisichojulikana
 
Back
Top Bottom