BenElohimy
Senior Member
- Sep 21, 2021
- 181
- 223
Unapolala na kuamka halafu ukauona mwanga ni MUUJIZA tosha!!
Unapolala mchana au usiku kitendo cha kuwaona wanaokuzunguka ni MUUJIZA tosha!!
Kitendo cha wewe kuzaliwa na kukua hapa duniani ni MUUJIZA tosha!! Kwani kuna wengine walitupwa mitaroni, madarajani, baharini n.k
Sasa wewe sijui unatafuta muujiza mara wa Fedha, mara Viwanja mara oooh nini!!! Acheni Uvivu.
Fanya kazi huku ukimwomba Mungu akufanikishe, Pambana kupata namna ya kujikwamua na hali uliyo nayo angali ukimwomba Mungu.
Goood morning