kyokushalile
Member
- Jun 29, 2016
- 17
- 10
Hii skonko hatari[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu hizo mbona ninazo hadi leo hii natumiagaView attachment 370397
Na redio yake ninayo bado
Hii skonko hatari[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu hizo mbona ninazo hadi leo hii natumiagaView attachment 370397
Na redio yake ninayo bado
zamani kinyama. niko primary school
aisee pole sana mkubwaMwaka 1998 nilirekodi mazungumzo yetu mimi na mchumba wangu kwa kutumia Radio yangu aina ya HITACHI. Ule mkanda (cassete) ulikuwa na muziki wa bingwa wa Soukous Alain Kounkou wa Zaire(Congo DR) sote tulikuwa tukipenda sana kusikiliza rekodi zake huyu nguli. Mchumba alikasirika kwa kurekodiwa bila ridhaa. Niliamua kununua mkanda mwingine kama ule tena, na ule wenye sauti yake nikauhifadhi ktk shubaka la makorokoro ambayo kwa kawaida si muhimu sana wala si takataka, Hayatupwi. Mwaka 2000 tuliowana na kuj'aliwa mtoto. Kwa mapenzi yake MUNGU mke wangu alifariki mwaka 2011 akiwa mjamzito wa mapacha wawili na niliwapoteza wote. MUNGU ni mwema mke wangu aliniachia Bint yetu wa kwanza aliyezaliwa mwaka 2006 na wakati mama yake anafariki alikuwa na miaka mitano sawia. Juzi huyu bint yangu ametimiza miaka 10, niliamua (sijui kwa nini) kumuuliza kama anakumbuka chochote kuhusu mama yake akasema hakumbuki vema. Niliamua kuchukua ile Radio na ile cassete na kumuomba tuisikilize. Tulilia sana! Ubarikiwe mtoa mada.
pole sana mkuu ni kama naona movie vile..Mwaka 1998 nilirekodi mazungumzo yetu mimi na mchumba wangu kwa kutumia Radio yangu aina ya HITACHI. Ule mkanda (cassete) ulikuwa na muziki wa bingwa wa Soukous Alain Kounkou wa Zaire(Congo DR) sote tulikuwa tukipenda sana kusikiliza rekodi zake huyu nguli. Mchumba alikasirika kwa kurekodiwa bila ridhaa. Niliamua kununua mkanda mwingine kama ule tena, na ule wenye sauti yake nikauhifadhi ktk shubaka la makorokoro ambayo kwa kawaida si muhimu sana wala si takataka, Hayatupwi. Mwaka 2000 tuliowana na kuj'aliwa mtoto. Kwa mapenzi yake MUNGU mke wangu alifariki mwaka 2011 akiwa mjamzito wa mapacha wawili na niliwapoteza wote. MUNGU ni mwema mke wangu aliniachia Bint yetu wa kwanza aliyezaliwa mwaka 2006 na wakati mama yake anafariki alikuwa na miaka mitano sawia. Juzi huyu bint yangu ametimiza miaka 10, niliamua (sijui kwa nini) kumuuliza kama anakumbuka chochote kuhusu mama yake akasema hakumbuki vema. Niliamua kuchukua ile Radio na ile cassete na kumuomba tuisikilize. Tulilia sana! Ubarikiwe mtoa mada.
Umenikumbusha mbali sana wakati huo betrii zikiisha hazitupwi. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unakuwaga makini na hizi namba, ila upo kwenye 20s zako. Enjoy
Yaan huwezi amini nilikosa amani kabisa kisa hii kitu, nikaja elewa baadae sana baada kufika sekondari kwenye fiziksi.nimeamini maneno ya mchangiaji mmoja kuwa ile tape ypande mmoja ilkuwa una speed na ule mwengine inakuwa slo.. angalia video hii ndio utaamini na utazidi kukumbuka mbali
Nakupenda dada...Samahani wee dada! Unanidai sh ngapi mbona uko matakoni mwangu mno! Ebu usinitafutie ban! Pita kushoto.
Yeah, there you are. Siku hizi ni ujinga tu hasa pale ubora unapotegemea followers kwenye Instagram.And when music was music not now where the quality of music is negative.
Pole sana mkuuMwaka 1998 nilirekodi mazungumzo yetu mimi na mchumba wangu kwa kutumia Radio yangu aina ya HITACHI. Ule mkanda (cassete) ulikuwa na muziki wa bingwa wa Soukous Alain Kounkou wa Zaire(Congo DR) sote tulikuwa tukipenda sana kusikiliza rekodi zake huyu nguli. Mchumba alikasirika kwa kurekodiwa bila ridhaa. Niliamua kununua mkanda mwingine kama ule tena, na ule wenye sauti yake nikauhifadhi ktk shubaka la makorokoro ambayo kwa kawaida si muhimu sana wala si takataka, Hayatupwi. Mwaka 2000 tuliowana na kuj'aliwa mtoto. Kwa mapenzi yake MUNGU mke wangu alifariki mwaka 2011 akiwa mjamzito wa mapacha wawili na niliwapoteza wote. MUNGU ni mwema mke wangu aliniachia Bint yetu wa kwanza aliyezaliwa mwaka 2006 na wakati mama yake anafariki alikuwa na miaka mitano sawia. Juzi huyu bint yangu ametimiza miaka 10, niliamua (sijui kwa nini) kumuuliza kama anakumbuka chochote kuhusu mama yake akasema hakumbuki vema. Niliamua kuchukua ile Radio na ile cassete na kumuomba tuisikilize. Tulilia sana! Ubarikiwe mtoa mada.