Hivi unajua hili kuhusu ma' marais duniani

Hivi unajua hili kuhusu ma' marais duniani

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
499
Kumekuwa na destuli ambayo imekuwa kawaida pia kwa watu wengine imezua malalamiko,sio hapa tu tanzania bali hata kwa wenzetu,kumekuwa na desturi ma, rais mbalimbali kupiga picha na watu wa kawaida sana ,au watu ambao hawana umaharufu mkubwa duniani,kama hapa tanzania tumeona picha mbali mbali za rais akipiga na wanamuziki kama T.I.D,mwana filamu hemedi,hata diamond ,lakini kwa uchunguzi umebaini kwamba rais wetu ni miongoni mwa marais 20ambao ni vigumu sana kupiga nao picha, hawa vijana waliopiga nao picha wamepata bahati kubwa,miongoni mwa ma' rais wengine ambao ni vigumu sana ni obama, rais wa ufaransa,kagame, n.k suala hili katika nchi za kiarabu na zile na kiislamu ni marufuku kisheria rais kupiga picha na watu wa kawaida na kiongozi ambae anakamata namba moja kuwa ni vigumu sana sana kupiga nae picha ni rais wa korea kaskazini,kwani kama mwaka jana pekee mtu wa maharufu(kawaida) ambae si mwana diplomasia alikuwa ni rodman denis mcheza kikapu wa zamani wa chicago bull alipotembelea nchi iyo ,na hii alifanya kusudi rais uyo kuichukiza marekani
 
kwa msaada wa watu wa Marekani watakuelewa!
 
Sijaona mantiki ya hii ktu hapa kwani ukipga picha na rais inakuwaje?
 
Back
Top Bottom