Nakazia 🤣🤣Mda mwingine mkishatumia viroba mlale tu sio lazima kuandika thread
Sema unyama sana mwangu endelea kutupazia sauti...... usisahau na wale ambao ukimbadilisha mkao anakwambia "ndo unafanyaga hv Kwa Malaya zako"Mkuu nipo poa kabisa.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
JF nipo Long Time Kitambo Mkuu, yani kabla hata ya hii ID.Mkuu ulijiunga 2018, lakini umekuja kuchachuka 2023 mwishoni… nini shida?
Mkuu ulishajibu juu nikalike nikatembea,, bado tena unaendelea kureply kitu kile kileJF nipo Long Time Kitambo Mkuu, yani kabla hata ya hii ID.
Hii ni ID ya Kiporo tu, kuna ID nyengine nimejiunga miaka ya nyuma sana.
ASANTE.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue