Hivi Unajielewa kweli?

Mkuu ulijiunga 2018, lakini umekuja kuchachuka 2023 mwishoni… nini shida?
 
JF nipo Long Time Kitambo Mkuu, yani kabla hata ya hii ID.

Hii ni ID ya Kiporo tu, kuna ID nyengine nimejiunga miaka ya nyuma sana.

ASANTE.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mkuu ulishajibu juu nikalike nikatembea,, bado tena unaendelea kureply kitu kile kile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom