Hivi unaishi vipi na mwanaume miaka 2 bila ndoa?

Mbona unaongelea vitu vingne ambavyo sio vya muhimu sana mfano kuvishwa pete ya uchumba, kuna wajinga wanaishi kama mke na mme zaid ya miaka 2 na mwanaume hapajui kwao na mwanamke wala ndugu wa mwanamke nao wanajipa matumain ya ndoa.
 
yaani unawashauri wazae

kuongeza single parents


kama mwanaume haeleweki tupa kule

(NB ndio umuhimu wa mafiga matatu unapoonekana)
 
Shida inakuja mwanaume asiyeeleweka huwezi kumjua hasa ukiwa wanamke

Ukiona umeanza kumjua mwanaume asiyeeleweka ujue either wewe ni single mom au unamiaka zaidi ya 28.

Wengi wenu mna angalia vitu vya kijinga jinga tu Hana gari kwahiyo haeleweki,hana elimu kwahiyo haeleweki hana kazi kwahiyo haeleweki yaani hamna macho yakuona.Hilo jicho la hivyo mnapataga mkishakuwa wakubwa au mkizalishwa mkatekekezwa ndo mnapata akili ya kujua yupi ni mwanaume kweli yupo janja janja.

Huwezi kukaa na mwanaume mda mrefu ni kwasababu una chembe chembe za kaumalaya na sio vinginevyo.Wenzako wanaweza sababu akili zao zimetulia haziwazi kutumia uchi kujinufaisha
 
Ujue kuna mambo mengine tunajitakia wenyewe. Hivi mwanamke unaanzaje kuishi na mwanaume miaka mi2 bila ndoa hata Pete ya uchumba tu hajakuvisha mnaishi pamoja miaka yote mi2. Hamtaki kuoana basi zaeni lakin ata kuzaa mmegoma. Unachezewa. Unapotezewa mda. Mtu uko nae toka uko mdogo mpk unazeeka bado uko nae afu unahisi unapendwa

Ndo kama dada mmoja ameishi na boyfriend wake miaka 7 hakuna ndoa wala engagement. Wanaishi nyumba moja. Juzi wameenda wote likizo Paris. Dada wa watu akajua mkaka ata propose kumbe nehi nehi jamaa ameenda kustarehe tu Dada ameondoka kwa furaha drama kibao kila kona kurudi amerudi kimya kimya ata ham ya kushika simu hana Hapa navoandika dada ameamua kumuacha kaka ati anampotezea muda wake. Miaka yote 7 hukustuka ndo unastuka leo ati unachezewa? We hamnazo

Mimi nikiona mdada wa hivi sijui namuonaje namuona kama hana akili. Mtu mwenye akili awezi kukaa kwenye relation ya hivi miaka yote hiyo. Alafu mwanaume ukikaa nae mwaka mmoja unajua tu kama yko serious au sio. Kama hayupo serious bora uachane nae mapema kuliko kupotezeana muda.

Mimi bora waniite malaya kuliko kukaa kwenye relationship isiokuwa na nyuma wala mbele kwa kisingizo cha mapenzi. Nilikaa na mjinga mmoja hvi miaka mi3 tena kwa sababu kipindi icho nilikuwa teenager. Baada ya apo nikiona mwanaume yupo yupo namtupia kule tena ndo akiwa hana pesa ata simtazami mara mbili. Mwanaume asiekua na pesa wa nini sasa? Kwanza mwanaume asiekua na pesa anakua hana mapenzi ata kidogo. Mapenzi yake yote anamaliza kwa mama ake na dada zake. Kwa sasa nko engaged na mwakani summer tunaoana Mungu akipenda.

Acheni kuwa na wanaume wasioeleweka msiogope kuanza upya. Saa nyingine kuanza upya kuna heri kuliko kukaa kwa zamani kusipokua na faida yoyote kwako zaidi ya kupoteza mda.
Mnaangalia sana pesa na ndo Maana mnaishia kupotezewa muda

wewe Mwanamke unaanzaje kuishi na Mwanaume bila Ndoa, Mnaopoteza ni nyinyi sio Mwingine

We Mwanamke una wazazi unaanzaje Kwenda Kuishi kinyumba na Mwanaume kabla ya Ndoa, Hizo Drama zenu za "....amekuja Kujitambulisha" Sijui nini nini Basi Mtaishia kuchezewa tu Maana Mwanaume kama anapata Hitaji la Kimwili hiyo ndoa ya nini sasa?

Tulia kwenu uje Uolewe ndo Utoke

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Yaan wewe unaamini kuwa ndoa ni kale kachuma ka shaba au dhahabu kalikopinda mkavalishana kwenye kidole cha shahada??? na wala ndoa sio malengo mliyojiwekea nyie wawili ?? Hivi nikiamua kusoma shule na nisichukue cheti na nikakwambia cheti chako hakinisaidii kitu bali ninachotaka ni elimu kichwani wewe kwa akili yako si utaniona kichaa???
 
Mtoa mada
Wee Ni mdangaji unaejificha kwenye kichaka Cha mahusiano ya uchumba.

Ni Aina ile ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa timing za kuvuna vitu flan flan ila kwa kisingizio cha uchumba.

Akiona hujavuna ilivotarajiwa,
Unajiwahi kuvunja mahusiano ili ionekane jamaa hakua serious.

Hizi janja za nyani wamefanya Sana Bibi zako enzi zile za azimio la Arusha
 
Haka kamtoa mada Ni kamalaya kaliko changamka.

Dawa ya vidada Kama hivi ni.
Unakiandalia pesa isiyokua na kazi.

Kinajaa mtegoni, unapiga Cha nyuki, unalala mbele. Kisha unapiga chini.

Unampasia rafki ako namba, unawatengenezea connection.

nae anakichojoa anapiga Cha nyuki analala mbele. Kisha nae anapiga chini.

Trend inaendelea mpk mnafika wanaume 10 au 15.

Afu siku ya birthday yake,
Mnafunga msafara wote na ving'ora kila mtu na gari yake mnampelekea zawadi ya dildo kubwa size ya gogo la mti ili akajichokonoe uko chini.
 
Aisee, wanaume mna kazi sana, sasa mtu kama mtoa mada ukikutana nae mtaani unaweza kuhisi umepata mwanamke wa maana kumbe ye kwake hata kubadilisha wanaume mpya kila siku kwake sio issue
Haka Ni kamalaya TU kakusuuzia rungu ukasepa.

Na cha ajabu Unaweza kuta hata hakana mbele Wala nyuma.

Kiukweli,
Zishukuliwe Sana Hizi feki I'd za bw.melo,
zinawasitiri wengi Sana Humu
IMG_20211217_181551.jpg
 
Back
Top Bottom