Hivi unaishi vipi na mwanaume miaka 2 bila ndoa?

Ujue kuna mambo mengine tunajitakia wenyewe. Hivi mwanamke unaanzaje kuishi na mwanaume miaka mi2 bila ndoa hata Pete ya uchumba tu hajakuvisha mnaishi pamoja miaka yote mi2. Hamtaki kuoana basi zaeni lakin ata kuzaa mmegoma. Unachezewa. Unapotezewa mda. Mtu uko nae toka uko mdogo mpk unazeeka bado uko nae afu unahisi unapendwa 😂

Ndo kama dada mmoja ameishi na boyfriend wake miaka 7 hakuna ndoa wala engagement. Wanaishi nyumba moja. Juzi wameenda wote likizo Paris. Dada wa watu akajua mkaka ata propose kumbe nehi nehi jamaa ameenda kustarehe tu 🤣🤣 Dada ameondoka kwa furaha drama kibao kila kona kurudi amerudi kimya kimya 😂 ata ham ya kushika simu hana 😅 Hapa navoandika dada ameamua kumuacha kaka ati anampotezea muda wake. Miaka yote 7 hukustuka ndo unastuka leo ati unachezewa? We hamnazo 🙃

Mimi nikiona mdada wa hivi sijui namuonaje namuona kama hana akili. Mtu mwenye akili awezi kukaa kwenye relation ya hivi miaka yote hiyo. Alafu mwanaume ukikaa nae mwaka mmoja unajua tu kama yko serious au sio. Kama hayupo serious bora uachane nae mapema kuliko kupotezeana muda.

Mimi bora waniite malaya kuliko kukaa kwenye relationship isiokuwa na nyuma wala mbele kwa kisingizo cha mapenzi. Nilikaa na mjinga mmoja hvi miaka mi3 tena kwa sababu kipindi icho nilikuwa teenager. Baada ya apo nikiona mwanaume yupo yupo namtupia kule tena ndo akiwa hana pesa ata simtazami mara mbili. Mwanaume asiekua na pesa wa nini sasa? Kwanza mwanaume asiekua na pesa anakua hana mapenzi ata kidogo. Mapenzi yake yote anamaliza kwa mama ake na dada zake. Kwa sasa nko engaged na mwakani summer tunaoana Mungu akipenda.

Acheni kuwa na wanaume wasioeleweka msiogope kuanza upya. Saa nyingine kuanza upya kuna heri kuliko kukaa kwa zamani kusipokua na faida yoyote kwako zaidi ya kupoteza mda.
aliye wadangany awatoto wa kitanzania kupendwa hadi uvishwe pete au kuvaa gauni ndo aliyewadanganya
 
Hapana Kaka ni hivi wanaume wanaandaliwa kisaikolojia kuwa punda wa wanawake bila wao kujijua.....na in future watakua punda kweli watafanya kazi ngumu na kujituma ili yapate pesa yakawape wanawake alafu yapewe mbususu na mapunda mengine hata denda yasiambulie we yaache yaendelee kuimba tafuta pesa
Uko sahii kabisa
 
Kuna wale wanishi miaka hamna anayejua nyumbani kwa mwenzie alikozaliwa.
Unakuta mwanaume anajua kwa mwanamke ila mwanamke hakuui kiumeni au hakuna anayejua kwa mwenzie wanaishi tu yakitokea matatizo muhusika anaenda peke yake hata ndugu hawawajui.
Wanajua wale ndugu wa kimjini mjini kwakuwa tu ni kabila moja anaitwa shemeji au wifi lakini hata hawajatoka sehemu moja.
 
Anajikadiria kwenye pesa za mtu.....hahaha! Type hii ndio wanafanyiwa unyama kwasababu ya pesa.... tamaa kwenye pesa halafu unataka uolewe, akaolewe na Bank.

Nimeona kuna mwana jeiefu amefukua makaburi hapo,, huyu anaonekana ana stress sana na tamaa pia... Labda kama siredi zilikuwa sio za kweli
 
Ujue kuna mambo mengine tunajitakia wenyewe. Hivi mwanamke unaanzaje kuishi na mwanaume miaka mi2 bila ndoa hata Pete ya uchumba tu hajakuvisha mnaishi pamoja miaka yote mi2. Hamtaki kuoana basi zaeni lakin ata kuzaa mmegoma. Unachezewa. Unapotezewa mda. Mtu uko nae toka uko mdogo mpk unazeeka bado uko nae afu unahisi unapendwa

Ndo kama dada mmoja ameishi na boyfriend wake miaka 7 hakuna ndoa wala engagement. Wanaishi nyumba moja. Juzi wameenda wote likizo Paris. Dada wa watu akajua mkaka ata propose kumbe nehi nehi jamaa ameenda kustarehe tu Dada ameondoka kwa furaha drama kibao kila kona kurudi amerudi kimya kimya ata ham ya kushika simu hana Hapa navoandika dada ameamua kumuacha kaka ati anampotezea muda wake. Miaka yote 7 hukustuka ndo unastuka leo ati unachezewa? We hamnazo

Mimi nikiona mdada wa hivi sijui namuonaje namuona kama hana akili. Mtu mwenye akili awezi kukaa kwenye relation ya hivi miaka yote hiyo. Alafu mwanaume ukikaa nae mwaka mmoja unajua tu kama yko serious au sio. Kama hayupo serious bora uachane nae mapema kuliko kupotezeana muda.

Mimi bora waniite malaya kuliko kukaa kwenye relationship isiokuwa na nyuma wala mbele kwa kisingizo cha mapenzi. Nilikaa na mjinga mmoja hvi miaka mi3 tena kwa sababu kipindi icho nilikuwa teenager. Baada ya apo nikiona mwanaume yupo yupo namtupia kule tena ndo akiwa hana pesa ata simtazami mara mbili. Mwanaume asiekua na pesa wa nini sasa? Kwanza mwanaume asiekua na pesa anakua hana mapenzi ata kidogo. Mapenzi yake yote anamaliza kwa mama ake na dada zake. Kwa sasa nko engaged na mwakani summer tunaoana Mungu akipenda.

Acheni kuwa na wanaume wasioeleweka msiogope kuanza upya. Saa nyingine kuanza upya kuna heri kuliko kukaa kwa zamani kusipokua na faida yoyote kwako zaidi ya kupoteza mda.
We una pesa? Jinga we idiot
 
Kumbe shda ni pete ili ukawaringishie wenzako kuliko kuthamini uwepo wake kwako,.mmmh! Hatar saana

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kuna shosti yangu yeye wana miaka 5 na watoto wawili… Hakuna ndoa wala engagement…
 
Ujue kuna mambo mengine tunajitakia wenyewe. Hivi mwanamke unaanzaje kuishi na mwanaume miaka mi2 bila ndoa hata Pete ya uchumba tu hajakuvisha mnaishi pamoja miaka yote mi2. Hamtaki kuoana basi zaeni lakin ata kuzaa mmegoma. Unachezewa. Unapotezewa mda. Mtu uko nae toka uko mdogo mpk unazeeka bado uko nae afu unahisi unapendwa

Ndo kama dada mmoja ameishi na boyfriend wake miaka 7 hakuna ndoa wala engagement. Wanaishi nyumba moja. Juzi wameenda wote likizo Paris. Dada wa watu akajua mkaka ata propose kumbe nehi nehi jamaa ameenda kustarehe tu Dada ameondoka kwa furaha drama kibao kila kona kurudi amerudi kimya kimya ata ham ya kushika simu hana Hapa navoandika dada ameamua kumuacha kaka ati anampotezea muda wake. Miaka yote 7 hukustuka ndo unastuka leo ati unachezewa? We hamnazo

Mimi nikiona mdada wa hivi sijui namuonaje namuona kama hana akili. Mtu mwenye akili awezi kukaa kwenye relation ya hivi miaka yote hiyo. Alafu mwanaume ukikaa nae mwaka mmoja unajua tu kama yko serious au sio. Kama hayupo serious bora uachane nae mapema kuliko kupotezeana muda.

Mimi bora waniite malaya kuliko kukaa kwenye relationship isiokuwa na nyuma wala mbele kwa kisingizo cha mapenzi. Nilikaa na mjinga mmoja hvi miaka mi3 tena kwa sababu kipindi icho nilikuwa teenager. Baada ya apo nikiona mwanaume yupo yupo namtupia kule tena ndo akiwa hana pesa ata simtazami mara mbili. Mwanaume asiekua na pesa wa nini sasa? Kwanza mwanaume asiekua na pesa anakua hana mapenzi ata kidogo. Mapenzi yake yote anamaliza kwa mama ake na dada zake. Kwa sasa nko engaged na mwakani summer tunaoana Mungu akipenda.

Acheni kuwa na wanaume wasioeleweka msiogope kuanza upya. Saa nyingine kuanza upya kuna heri kuliko kukaa kwa zamani kusipokua na faida yoyote kwako zaidi ya kupoteza mda.
Toa maelekezo maana ya ndoa ili tukuelewe. Kuna ndoa na harusi. Kitendo cha kuishi na mtu zaidi ya miezi Sita hiyo ni ndoa tayari
 
Kichwa cha habari chonganishi sana kwanini? Kisingekuwa mwanaume/mwanamke mbona kimebase kwa wanaume pekee banah na sisi tunalogwagwa banah mtu unaishi na janamke alitaki kuolewa na bado umeliganda tu..
 
Unashangaa Hilo ndg yangu kuthibitishana sio jambodogo ukishangaa Hilo polisi kuthibitisha kazini Hadi ipite miaka 10 vumilia ndo nguzo
 
Back
Top Bottom