Mto_Ngono
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 686
- 589
Binadamu udongo siku moja utarudi mavumbuni wengi wetu tunavyoamini. Sitaki kuandika mambo mengi swali kwa mwana JF, Hivi unajua siku moja utakufa? Je hali hiyo ya kujua kwamba utakufa (sense of death) inakuathirije katika maisha yako? Je ungependa ufanye nini au mambo yapi kabla hujafa? Je ingelikuwa ni hiari yako ungeomba kuendelea kuishi?