Hivi, unaeza kumfanyia Rais kitendo kama hiki?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Hapa hebu nihabarisheni kulikoni?

slide_3889_54749_large.jpg
 
mbona kama kwao kama ni kitendo cha kawaida saana si unaona wanacheka? jaribu bongo huone maafisa usalama walivyo na uchu wa kupiga watu, utahadithia kipigo utacho pata} maze e nimependa kinoma jezi zao; mahafande wa bongo hatuwezi kuiga katika majeshi yetu, macombat sii ya vikao ni ya kupigania au wadau mnasemaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom