tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,073 Reaction score 16,639 Oct 22, 2020 #41 One man down
fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,606 Reaction score 8,270 Oct 22, 2020 #42 leroy said: Kwa wale wajuvi wa mambo. Kauli hii toka kwa mpenzi wako/mkeo/mama watoto wako ina maana gani? Nawasilisha. View attachment 1231867 Click to expand... Maana yake mhudumie ipasavyo
leroy said: Kwa wale wajuvi wa mambo. Kauli hii toka kwa mpenzi wako/mkeo/mama watoto wako ina maana gani? Nawasilisha. View attachment 1231867 Click to expand... Maana yake mhudumie ipasavyo
BAHARI J JF-Expert Member Joined Nov 2, 2016 Posts 932 Reaction score 1,162 Oct 22, 2020 #43 Andaa magununia ya mkaa huyo wakuchoma tuuu au kubanika [emoji1][emoji1][emoji1]Natania A nakupa warning [emoji615] haupo peke yako
Andaa magununia ya mkaa huyo wakuchoma tuuu au kubanika [emoji1][emoji1][emoji1]Natania A nakupa warning [emoji615] haupo peke yako
Bata batani JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 3,257 Reaction score 3,905 Oct 22, 2020 #44 leroy said: Kwa wale wajuvi wa mambo. Kauli hii toka kwa mpenzi wako/mkeo/mama watoto wako ina maana gani? Nawasilisha. View attachment 1231867 Click to expand... Mwanamke akishatoa kauli hapo anajaribu kukuonesha mambo yafuatayo 1.you are nothing kwake wewe sio lolote wala chochote kwake 2.anajaribu kukuonesha hababaiki na wewe hata mkiachana 3.anataka kuona unabadilika inawezekana kuna tabia flani flani unazo kwake zinamchosha
leroy said: Kwa wale wajuvi wa mambo. Kauli hii toka kwa mpenzi wako/mkeo/mama watoto wako ina maana gani? Nawasilisha. View attachment 1231867 Click to expand... Mwanamke akishatoa kauli hapo anajaribu kukuonesha mambo yafuatayo 1.you are nothing kwake wewe sio lolote wala chochote kwake 2.anajaribu kukuonesha hababaiki na wewe hata mkiachana 3.anataka kuona unabadilika inawezekana kuna tabia flani flani unazo kwake zinamchosha
Dongmei Member Joined Oct 10, 2020 Posts 92 Reaction score 86 Oct 22, 2020 #45 Anajaribu kukutishia... Kwmb hta ukimwacha haina shida anaweza kupata mwingine.
L lordchimkwese JF-Expert Member Joined Nov 16, 2015 Posts 1,912 Reaction score 3,378 Oct 22, 2020 #46 Anaona una mdharau kwa kuwa anakupenda so anakukumbusha kuwa anatongozwa pia usimchukulie poa Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Anaona una mdharau kwa kuwa anakupenda so anakukumbusha kuwa anatongozwa pia usimchukulie poa Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app