Bondemania
Senior Member
- Jan 12, 2012
- 103
- 39
hivi wale jamaa wauzaji wa karanga mitaani au say wale wa samaki, wanapokuwa kazini na inatokea wakabanwa na haja ndogo au kubwa yale makapu yao huwa wanayaweka wapi wanapoenda kujistiri?ukizingatia siku hizi vibaka walivyo bussy,i am just thinking aloud