Hivi umeshawahi kuwa na mwanamke mwenye akili?

Wenye matako mara nyingi akili zao zinakuwa huko huko.
Na prefer smart woman sababu hata kwenye suala la uchumi wanakuwaga na akili sana.
Yaan wanasaidia sana kwenye kife haswa mwanaume ukikwama. Hata ukimpa pesa anajua jinsi gan aipangilie falmilia yote ile.

Tako halikupi mke mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili zao zinakuwa wapi?
 
Kwa tuliobahatika kukutana na Wanawake wenye akili katika maisha yetu tutakuwa mashuhuda, huwa ni raha sana. Hawa Wanawake hawachoshi kabisa, muda wote unatamani awe karibu, anajali sana nafasi yako katika maisha yake, utakuta yupo buzy na mambo yake mengi lakin hakusahau nawew, hakuachi nyuma, hakurupuki kwenye Kuongea, hataki aonekane kero au mzigo Kwako.

Atajua mapema nini unataka na atakifanya, hapendia magomvi, akikuudhi anatafuta njia sahihi sana ya Kuomba msamaha na utamsamehe tu.. daima anataka akufurahishe, ukiwa na tatizo sasa Yeye anakuwa mwanga Katikati ya Giza, anajua uwepo wake mbele yako una maana ya kukupa unafuu sio mzigo na kero, hajivunii chochote zaidi ya wew..

Achana na wanawake wako wa uswahilini hao, anakuja kukutembelea ghetto kuna kila kitu, mchele, mboga, unga, jiko, maji na vyombo lakin anataka umuagizie Chipsi.. pambaffff... akija ndani anaanza kusamanisha saman zako badala ya kujua kwamba Yeye yupo pale kuhakikisha mnapanda juu zaid.. wanataka mtelemko..

Mwanamke ambaye hana akili anakulazimisha uwe muongo na mjanja mjanja ili kuendenda na anavyowaza au anavyotaka ili uendelee kupata papuchi..

NI RAHA SANA KUDATE NA MWANAMKE MWENYE AKILI, ASIKUAMBIE MTU

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kukutana na hiki kiumbe chenye hizi tabia

Mkuu Grace wangu unekuja kumsemea huku.

Grace Mungu akuweke miaka 800, hata niwe na hasira vipi nikikuona mama najawa na furaha moyoni. Ewe Nuru ya moyo Wangu, wabarikiwe wazazi waliokuzaa
 
Mwanamke CHURA akili tutatumia zangu
Behaviourist upo?
Inaonekana wewe hujawahi kula wenye vyura kama vya mt malagarasi ndio maana una hadaika. Watu tuliokula sasa hivi tumeachana navyo tunatafuta wenye akili( kigezo no 1).

Kuna mtu aliwahi kutoa uzi humu kuwa wananwake wenye matako akili zao ziko matakoni( sina nia ya kutukana), yaani popote alipo anadhani Tako litamwokoa
 
Back
Top Bottom