Hivi umeshawahi kuwa na mwanamke mwenye akili?

Haha umenkumbusha nliwahi ku date na dem huyo kila akija ghetto hataki nimpikie au kupika yeye mwenyewe wakati ndani nna kila kitu, eti anataka nimfatie chips yai
 
Nilimpata she was bright. No mambo mengi. No drama. No games.
Strsight love adab japokuwa alinizid kwenye pesa.

Nakukumbukaga sana j. Ww ni rare breed ya wanawake.. hawa akina asha nkupe waliojaa huku mtaan hawana kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
wakina mwajuma nchokonoe wana kera balaaa yani ndio mana sijaoa mpaka leo kisa hizi sungura tope zinazingua sana
 
Kwa tuliobahatika kukutana na Wanawake wenye akili katika maisha yetu tutakuwa mashuhuda, huwa ni raha sana. Hawa Wanawake hawachoshi kabisa, muda wote unatamani awe karibu, anajali sana nafasi yako katika maisha yake, utakuta yupo buzy na mambo yake mengi lakin hakusahau nawew, hakuachi nyuma, hakurupuki kwenye Kuongea, hataki aonekane kero au mzigo Kwako.

Atajua mapema nini unataka na atakifanya, hapendia magomvi, akikuudhi anatafuta njia sahihi sana ya Kuomba msamaha na utamsamehe tu.. daima anataka akufurahishe, ukiwa na tatizo sasa Yeye anakuwa mwanga Katikati ya Giza, anajua uwepo wake mbele yako una maana ya kukupa unafuu sio mzigo na kero, hajivunii chochote zaidi ya wew..

Achana na wanawake wako wa uswahilini hao, anakuja kukutembelea ghetto kuna kila kitu, mchele, mboga, unga, jiko, maji na vyombo lakin anataka umuagizie Chipsi.. pambaffff... akija ndani anaanza kusamanisha saman zako badala ya kujua kwamba Yeye yupo pale kuhakikisha mnapanda juu zaid.. wanataka mtelemko..

Mwanamke ambaye hana akili anakulazimisha uwe muongo na mjanja mjanja ili kuendenda na anavyowaza au anavyotaka ili uendelee kupata papuchi..

NI RAHA SANA KUDATE NA MWANAMKE MWENYE AKILI, ASIKUAMBIE MTU

Sent using Jamii Forums mobile app
Umefanya nmkumbuke Johar wang

°•°Faith •Hope •Charity•°•
 
Wengine ukimleta ndani anatamani kila kitu abebe apeleke kwao akiona mchele mafuta hata mdoli ni wale wenye asili ya pakashume

wali nazi maharage nazi
 
kuna mmoja wa design hyo ya mtoa mada ila ana umimi sana (Ubinafsi, wivu )Juu yangu yaani yaani anataka yeye tuu ndo animiliki kama vile Nimewekewa trademark, ani Huwa anashika simu yangu akikuta jina la kike anaanza kubonga , ngachoka mnama ila ndo hivyo anacare sanaaa , .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anakutizama alafu hasemi neno, au utasikia Use me mjinga sana yaani sana we mjanja ok , unafaidika nini unaponambia uongo ,Hapo naanza kujichekesha chekesha , .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mnapenda wajinga wajinga wasiohoji ili.mfanye mambo yenu.

Mimi nimeoa mwanamke mwenye akili, wala hakusoma, lkini ninapofnya jambo lazima nihakikishe niko sahihi. Hali hii imenifanya nifanikiwe mana sifanyi ujinga
 
Back
Top Bottom