Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini wanyama jamii ya mbwa wanagandana baada ya kujamiiana “mating”?⠀

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
735
1,464
Wanyama jamii ya Mbwa Mwitu, Wolf, Jackal na Mbwa wa kufugwa kwa kawaida huwa wanagandana pindi wanapomaliza au wanapojamiiana kwa kitaalamu hali hiyo huitwa “INTERLOCKING” au “KNOTTING”. Kwa kawaida majike mengi kwenye familia za mbwa huwa wanapitia vipindi vinne vya kuelekea uzao mpaka kuwa na watoto na kipindi cha maturity huwa ni miezi 8 – 19⠀

Baada ya hapo ataingia kwenye stage ya kuzalisha mayai huitwa proestrus, Baadae ataingia kwenye Estrus hiki ni kipindi ambacho wanyama wengi sana jamii ya mbwa huwa ndio wana-mate⠀

Kwa mbugani hiki ndio kipindi cha kutoana damu kwa madume na vita kali sana lakini kwenye jamii ya mbwa mwitu ndio kipindi cha kula kwa macho (Alfa male), Kwa kawaida majike huwa na harufu ambayo huvutia madume kwa ajili ya mating na hudumu kwa siku 6 mpaka 25⠀

TUANGALIE HII “INTERLOCKING” au “KNOTTING” NDIO NINI?⠀

Kwa wale wafugaji wa mbwa nadhani sio kitu kigeni kuona mbwa wamenasiana baada ya Mating, hali hiyo ni ya kawaida sana na kitaalama inaitwa Intrelocking au knotting, ni hali ya Penis ku-stuck ndani ya sehemu ya kike ya mbwa jike⠀

Sasa katika wanyama wote jamii ya mbwa huwa na gland inaitwa “BULBS GRAND” hii ni gland maalum inayohusika kukwamisha maumbile ya dume kutoka nje baada ya kumaliza mating⠀

Kwa kawaida mbwa dume huingia kwenye copulation wakiwa hawajasimamisha maumbile yao “Unerected”, hivyo katikati ya tendo ndio hufanya erection na hapo Penis huwa na mfano wa bulb na ku-stuck ndani kwa muda wa dk 5 mpaka 20 hii ni kwaajili ya kumaliza kabisa mkupuo maana kama sperm zisipokamilika hupelekea matatizo kwa kichanga⠀

Hali hiyo, huwa inakaa kwa muda mdogo kwa Mbwa mwitu kutokana na mfumo wa maisha wa kuogopa predators (unakuta wamegandana halafu mzee simba anatokea hata kukimbia hawawezi), Hiki kitendo pia kinachangia sana kupunguza uzao wao mbugani⠀

Hiyo ndio Knotting au Interlocking inavyokuwa, Hapo dume anapigwa na wenzie kama jike tu hana namna. Kiuchawi hata binadamu hali hii huwapata

All credit by @thewildlife

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwah kuona video moja ya xxx,binti alkuwa anafanya mapenz na mbwa,hyo gland ilivimba ikiwa ndan ya uke kuitoa ilkuwa kama imefyatuka na ilkuwa inaendelea kutoa shahawa
 
Wanagandana kwa uchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikitokea mwanaume akiwa anamshona binti na akajikuta wamegandana hawezi kutoka hiyo hua siyo uchawi. Ni medical condition inayoitwa penis captivus.

Hapa hutokea kwamba misuli ya uke inaclamp na kuubana uume kiasi kwamba hata mwanaume akijitahidi kujivuta atashindwa kutoka mpaka misuli ya qummer ilegee yenyewe.

Kuhusu kugandana kichawi ule ulikua ni uongo. Tukio lilipodaiwa kutokea mimi ndiyo nilipokua naishi lakini mpaka leo hakuna mtu ambaye aliwaona wale wetu zaidi ya uvumi.
 
Ikitokea mwanaume akiwa anamshona binti na akajikuta wamegandana hawezi kutoka hiyo hua siyo uchawi. Ni medical condition inayoitwa penis captivus.

Hapa hutokea kwamba misuli ya uke inaclamp na kuubana uume kiasi kwamba hata mwanaume akijitahidi kujivuta atashindwa kutoka mpaka misuli ya qummer ilegee yenyewe.

Kuhusu kugandana kichawi ule ulikua ni uongo. Tukio lilipodaiwa kutokea mimi ndiyo nilipokua naishi lakini mpaka leo hakuna mtu ambaye aliwaona wale wetu zaidi ya uvumi.
Nipe muda kwanza nitakujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom