Kuna mtu mwingine imetokea mkakorofishana sasa kwa kukutaka kukukomesha anawaambia watu wakukamate eti wewe ni kichaa
tanganyika, anyway kama ulisha wahi kwenda pale muhimbili kwenye wodi ya vichaa especially pale wanapokuwa wanahojiwa yaani wanakataa katakata kwamba wao sio vichaa mimi nijuavyo mtu akikulengeshea hivyo ni lazima utapanic then akili inahama kwa hiyo unajikuta unakuwa kichaa ghafla au unalionaje hilikhaaa! unaishi wapi?
Kuna mtu mwingine imetokea mkakorofishana sasa kwa kukutaka kukukomesha anawaambia watu wakukamate eti wewe ni kichaa
Hahahahaha!
Hao watu umewakosea nini?
Imemkuta dada yangu wa kuzaliwa tumbo alikorofishana na mtu then akasingiziwa kuwa amempiga kibao kumbe huyo mtu ameshawaandaa watu wakujitokeza kuwa yeye ni kichaa tukakuta tayari wameshampeleka muhimbili tangia hapo dada yangu akawa frastruated mwishowe akawa kichaa huwa inaniuma sana nikimuona dada angu anateseka
kwa hiyo dadako kwa sasa ni kichaa kabisa?...
Aiseee....poleni sana.Imemkuta dada yangu wa kuzaliwa tumbo alikorofishana na mtu then akasingiziwa kuwa amempiga kibao kumbe huyo mtu ameshawaandaa watu wakujitokeza kuwa yeye ni kichaa tukakuta tayari wameshampeleka muhimbili tangia hapo dada yangu akawa frastruated mwishowe akawa kichaa huwa inaniuma sana nikimuona dada angu anateseka
preta unataka aandike kwa herufi kuu?!
off topic:mery xmass