Hivi ulishawahi kujiuliza baba yako na mama yako walikupataje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ulishawahi kujiuliza baba yako na mama yako walikupataje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nitonye, Oct 12, 2012.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Mwanadamu anapozaliwa anajikuta yupo duniani bila kujua ni jinsi gani aliingia ndani ya mama yake. Wapo watoto waliopatikana kwa njia baba kumbaka mama ake au mama kaleweshwa pombe kalegea kapanua miguu, au mama alipigwa gwaride hadi ukapitikana. Je ulishawahi kujiuliza mimi najiuliza ila sipatagi majibu.
   
 2. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,690
  Trophy Points: 280
  Kuna vitu ambavyo ubongo huwa haujihangaishi kufikiri, na mojawapo ya vitu hivyo ni jambo hili kwenye huu uzi.
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Duh! Yaani mkuu ndiyo post uliyoamka nayo
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Usingizi mtamu sana
   
 5. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nitonye kaulize baba yako na mama yako kwanza na jibu utakalopewa litatusaidia. Kama huna familia siku ukipata mtoto utaacha utoto.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Tumefikia huku?? Kapate supu kwanza uondoe hang-over!!
   
 7. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Hivi wewe Nitonye, yaani katika msongo mkubwa huu wa mawazo ya watu kukosa ajira na kulala njaaa, wewe hii ndiyo topic ambayo umeona inafaa kuwekwa hapa uwanjani! au ndio umekurupuka kutoka kwenye bar za Kimpumu? Inatisha. Bora ungeipost jioni tungeamini kuwa maisha yamekukaba koo. Jipange upya.
   
 8. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  nitonye, mbona huendi sambamba na jina lako? We utataje majibu pasipo kuyatafuita kwa wahusika? na mama yako ndo mwenye majibu mazuri, kwani baba yako kesha sahau kila kitu na inawezekana unayemtambua kuwa ni baba yako, kumbe sio, ipo njemba pemben haina mpango na wewe. mwulize mama yako, usitafte majibu ambayo ukweli wake hukuwa sehem ya ukweli huo
   
 9. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  mwsho atataka kujua siku walio do ukapatikana.huku sasa kutafuta laana kwa nguvu.
   
 10. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mimi nahisi hiyo siku kulikuwa na baridi sana,maana mwezi niliozaliwa ,watoto wengine wengi walizaliwa mwezi huohuo,kulikuwa na Baby-BOOM mtaani kwetu,so nahisi ilikuwa baridi.....mwacheni nitonye aanzishe weekend poa.....nishaliwazaga hili,,,,,sidhani kama mawazo yanaleta laana,huu ni udadisi tu wa kuhisi ilikuaje ukazaliwa,it is very normal mtu kuwaza mambo kama haya
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Root

  Root JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,310
  Likes Received: 13,019
  Trophy Points: 280
  Kuna vitu vingine hatupaswi kuuliza kwani unadhani wanapatikanaje basi wewe walikuiba

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 12. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  HUKO UNAKOENDA SIKO, iko siku utataka kuwaona wanavyotenda, ni kipi hukijui hapo...? (hayo ni matusi)
   
 13. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Mie mama nilimuliza akanambia alipata mimba yangu Tanga walikwenda na Baba kumuona Bibi huko, kuzaliwa kanizaa ocean road hospital ambayo sasa ni hospital ya cancer, walikwenda kuangalia cinema ya kihindi inaitwa Julie basi kiminyano cha kuingia picha hakuimaliza ilibidi waende hospital ndio nikazaliwa mieee princess Shaimah......
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni aibu kujadili jinsi mama yk na baba yako walivyofanya tendo la ndoa hadi ukapatikana wewe,ni sawa na kumvua mama yk nguo na kumkagua viungo vyake vya siri,Shame on u ...
   
 15. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Sishangai ulichoandika hapa. Avatar yako inajieleza.
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Af we Nitonye nilikua nakuheshimu sana kumbe ndivyo ulivyo
   
 17. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Angel, angalia na mda mtu aliopost, bila shaka alikua ndotoni.. msamehe tu
   
 18. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Samahani usingizi ni noma Angel acha hasira
   
 19. JICHO LA TATU

  JICHO LA TATU JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  sitouliza c'z sidhani kama inanuhusu...........
   
Loading...