Jamani tumekaa mjini na vijijini na magari tumeyamiliki na barabara tunazotumia hi hizi hizi ila kinachonishangaza ni hawa wenzetu wenye kutumia magari aina ya Noah.
Yaani ni kero kwa uendeshaji wao utafikiri wamelogwa. Uendeshaji wa hovyo usiokuwa makini speed hazina umakini wowote ili mradi tu anakimbia.
Yaani naona madereva wote wa magari ya Noah ni wapuuzi watupu ile mjini au mkoani tabia zinafanana.