Hivi Ukitaka kuoa huwa unajipangaje?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Mara nyingi kijana yeyote anapotaka kuoa huwa anaulizwa hili swali umejipangaje??

Je huko kujipanga kupojeee au ndoa ngumu
 
Wanataka kufaham kama unasabufa.godoro na unafaham mnyanduano?
FB_IMG_16312781700562909.jpg


Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hakikisha akili imekomaa haitegemei utegemwzi wowote, cha pili hakikisha unachanzo cha kukuingizia kipato ,anza kupangua safu ya marafiki wasio faaa ,

sent from HUAWEI
 
Ni muhimu mwanaume uwe na vyanzo vya mapato endelevu not necessarily uwe tajiri lakini walau uwe na kipato endelevu. Ndo kujipanga mwenyewe.
 
1. Umejipanga kisaikolojia kuishi na mtu ambae atakua anafuatilia nyendo zako zote kuanzia unapotoka asubuhi, unaenda wapi, kufanya nini, utakua na nani, utarudi saa ngapi, utaniletea nini, nk..?

2. Umejipanga kiuchumi kuhakikisha huyo mwanamke atakula, atavaa, atastarehe, atalala, akiugua atatibiwa, wazazi/ndugu zake wakiwa na shida watasaidika, nk?

3. Umejipanga kimwili kutoa "dozi" mfululizo bila kuchoka wala kulalamika kadri mwenzio atakavyokua anahitaji?

4.
Mara nyingi kijana yeyote anapotaka kuoa huwa anaulizwa hili swali umejipangaje??

Je huko kujipanga kupojeee au ndoa ngumu
 
Mwamini Mungu, mkabidhi Yesu maisha yako, njia zako zote zitanyooka. Mungu atakupata haja zote za moyo wako.


YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Back
Top Bottom