Hivi ukitaka kufanya kazi Tanzania hizo TGS na PUTS zinamaanisha nini???

eliesikia

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
787
755
Nimeona ili uwe serikaliini wana scales zao wanaita TGS sijui E,F n G pia na PUTS inayo kuanzia hapo 16-21
Mi nataka wanaJF mnijuze hili maana kule Economic forum visitors wachache naona hawalioni hili...
Samahani kwa usumbufu
 
Back
Top Bottom