Hivi ukimla kuku aliyeng'atwa na nyoka mwenye sumu, unaweza kufa?

Aisee,
Imenitokea usiku huu,mda huu wakuu.

Nmetoka kazn na njaa sana, wife akanambia msosi tayari ila nianze na starter ya supu ya kuku kabisa, Kisha ndo nifate wali.

Nikamwambia Safi Sana,
Niwekee supu ya firigisi Kabisa.
Unajua mwnyw nnavoipenda Sana.
Kweli nmepakuliwa nmekula fresh.

Katikati Nmeshakula tayari, Wife ndo ananambia kua kuku (tetea) aliechinjwa ndo yule ambae kifaranga wake alikufa kwa kung'atwa na nyoka jana usiku, aliponipigia sim kunijulisha leo asbh kua Kuna kifaranga kang'atwa na nyoka kafariki.

Jana jioni shemej yangu (mdg wake wife) Akifata mkaa stoo,ile anafunua kiroba cha mkaa, nyoka mweusi kadondoka pembeni na Katoka mbio na kukimbilia Banda la kuku, wakaogopa kumfata,ukzingatia Giza lishaingia. (Banda la kuku na stoo ya mkaa vimetenganishwa na mabanzi TU)

Anasema asbh kulipokucha wamewafungulia kuku, nyoka hawajamuona bandani, ila kifaranga mmoja wamekuta kafariki, wakamtoa na kumtupa.

MDA mfupi tena baadae mama ake kifaranga aliefariki (tetea), wakaona Kama nae kanyong'onyea sn hachangamki,Wakihisi nae keshang'atwa tayari, anaweza kufariki MDA wowote ule.

Kwahiyo ikabidi achinjwe haraka sana kabla hajafariki na kumpika.

Sasa wakuu,
Hapa sio Siri Moyo wangu umeenda mbio Sana, nmejawa na woga sana.

wataalam na wazoefu kwenye hili,

Naombeni ufafanuzi wenu tafadhali

View attachment 2641976
Hapo ni kwako au kwa mama ntilie?
 
Naona wajuaji na wahuni wa jamiiforums wanajadili vitu ( bakuli) badala ya hoja.

Wengi humu maisha siyo ya juu kihivyo, inawezekana wengi wanaokucheka bakuli mleta mada unawazidi kila idara ya maisha. Lakini nyuma ya kibodi ni wazungu wanaotumia umma kula.

Wengine humu wanapikia kuni hata mkaa hawawezi kumudu gunia moja. Ni ulimbukeni kujaribu kusawazisha mifumo ya maisha ya watu.

Sijaona tatizo kuhusu hicho chombo. Angekitumia mzungu, mwarabu, mchina au mhindi isingekuwa ajenda.

Kingine; akina dada wa humu jf walikuwa na mategemeo makubwa sana juu yako. Walikuwa na picha kwamba unapoishi, unamolala, kitanda unacholalia, sebule unayopumzikia, vyombo unavyolia chakula vitakuwa vya ghali sana. Hii inaweza kutokana na stori zako mkuu na ulivyojibrand humu ( watch out)
Nb: ishi maisha unayoona inafaa usifuate mkumbo wa matajiri wa nyuma ya kibodi.
umemaliza
 
Wachina huwa wanamkamua nyoka sumu yote akiwa hai, wanatia kwenye glass halafu wanainywa kama wine.
 
Betpawa naona wameogopa, wametoa option ya either team under 2.5 first half.....

Nimesort randomly but for favourites.....56 teams za kesho kutwa...

669BB88 (Angalizo!-Hii sii code rasmi...Bado haijapita kwenye moto....! Dhahabu Ili ing'are, lazima kwanza ipite kwenye moto!.... So be patient!)

Usiku huu ni kazi ya kuzichekecha kwa kuangalia possible win markets kwa either team zinazokutana....

Nahitaji kupata cream ya only 25-30 teams toka hizo 56....
Nipate odds zangu 25-30 tu!....

Tarejea......
 
Ila daah Laki tisa ya kodi ya mama J unashindwa kununua vyombo vya udongo jamani. Baba mwenye mji unatengewa supu kama wapiga debe kwa mama ntilie.

Pesa za bata kwa michepuko ungewekeza kwako wala wasingeendekeza umaskini wa kuvizia kuku wanaosinzia wageuke mbogaoopsss nipo nje ya mada.

Ngoja wataalam waje
Aiseeee
 
Ni hatari kula kuku aliyeng'atwa na nyoka mwenye sumu, kwani sumu inaweza kuenea katika mwili wa kuku na kuwa hatari kwa afya ya mtu anayekula nyama hiyo. Sumu inaweza kusababisha athari mbalimbali kama vile sumu ya neva, sumu ya damu, au kushambulia mfumo wa kinga ya mwili.

Hata hivyo, inategemea aina ya nyoka na sumu yake. Siyo kila nyoka ina sumu hatari kwa binadamu, na siyo kila kuku anayeng'atwa anakuwa na sumu ndani ya mwili wake. Baadhi ya nyoka wana sumu zinazoweza kuwa hatari kwa binadamu, kama vile nyoka-mamba, nyoka-mwenye sumu kali, na wengine.

Kwa usalama wako na afya ya jumla, ni vyema kuepuka kula kuku aliyeng'atwa na nyoka. Iwapo ungekumbana na tukio la kuku kuumwa na nyoka, ni busara kuondoa hatari kwa kumwita mtaalamu wa wanyama au mtaalamu wa huduma za afya ili waweze kuchukua hatua zinazofaa.
Aisee,
Imenitokea usiku huu,mda huu wakuu.

Nmetoka kazn na njaa sana, wife akanambia msosi tayari ila nianze na starter ya supu ya kuku kabisa, Kisha ndo nifate wali.

Nikamwambia Safi Sana,
Niwekee supu ya firigisi Kabisa.
Unajua mwnyw nnavoipenda Sana.
Kweli nmepakuliwa nmekula fresh.

Katikati Nmeshakula tayari, Wife ndo ananambia kua kuku (tetea) aliechinjwa ndo yule ambae kifaranga wake alikufa kwa kung'atwa na nyoka jana usiku, aliponipigia sim kunijulisha leo asbh kua Kuna kifaranga kang'atwa na nyoka kafariki.

Jana jioni shemej yangu (mdg wake wife) Akifata mkaa stoo,ile anafunua kiroba cha mkaa, nyoka mweusi kadondoka pembeni na Katoka mbio na kukimbilia Banda la kuku, wakaogopa kumfata,ukzingatia Giza lishaingia. (Banda la kuku na stoo ya mkaa vimetenganishwa na mabanzi TU)

Anasema asbh kulipokucha wamewafungulia kuku, nyoka hawajamuona bandani, ila kifaranga mmoja wamekuta kafariki, wakamtoa na kumtupa.

MDA mfupi tena baadae mama ake kifaranga aliefariki (tetea), wakaona Kama nae kanyong'onyea sn hachangamki,Wakihisi nae keshang'atwa tayari, anaweza kufariki MDA wowote ule.

Kwahiyo ikabidi achinjwe haraka sana kabla hajafariki na kumpika.

Sasa wakuu,
Hapa sio Siri Moyo wangu umeenda mbio Sana, nmejawa na woga sana.

wataalam na wazoefu kwenye hili,

Naombeni ufafanuzi wenu tafadhali

View attachment 2641976
 
Ila daah Laki tisa ya kodi ya mama J unashindwa kununua vyombo vya udongo jamani. Baba mwenye mji unatengewa supu kama wapiga debe kwa mama ntilie.

Pesa za bata kwa michepuko ungewekeza kwako wala wasingeendekeza umaskini wa kuvizia kuku wanaosinzia wageuke mboga💃💃💃💃💃oopsss nipo nje ya mada.

Ngoja wataalam waje
Umepiga Pentagon.😀😀
 
Ila daah Laki tisa ya kodi ya mama J unashindwa kununua vyombo vya udongo jamani. Baba mwenye mji unatengewa supu kama wapiga debe kwa mama ntilie.

Pesa za bata kwa michepuko ungewekeza kwako wala wasingeendekeza umaskini wa kuvizia kuku wanaosinzia wageuke mbogaoopsss nipo nje ya mada.

Ngoja wataalam waje
nipo mbele za watu nimecheka hadi nimeonekana chizi aisee
 
Aisee,
Imenitokea usiku huu,mda huu wakuu.

Nmetoka kazn na njaa sana, wife akanambia msosi tayari ila nianze na starter ya supu ya kuku kabisa, Kisha ndo nifate wali.

Nikamwambia Safi Sana,
Niwekee supu ya firigisi Kabisa.
Unajua mwnyw nnavoipenda Sana.
Kweli nmepakuliwa nmekula fresh.

Katikati Nmeshakula tayari, Wife ndo ananambia kua kuku (tetea) aliechinjwa ndo yule ambae kifaranga wake alikufa kwa kung'atwa na nyoka jana usiku, aliponipigia sim kunijulisha leo asbh kua Kuna kifaranga kang'atwa na nyoka kafariki.

Jana jioni shemej yangu (mdg wake wife) Akifata mkaa stoo,ile anafunua kiroba cha mkaa, nyoka mweusi kadondoka pembeni na Katoka mbio na kukimbilia Banda la kuku, wakaogopa kumfata,ukzingatia Giza lishaingia. (Banda la kuku na stoo ya mkaa vimetenganishwa na mabanzi TU)

Anasema asbh kulipokucha wamewafungulia kuku, nyoka hawajamuona bandani, ila kifaranga mmoja wamekuta kafariki, wakamtoa na kumtupa.

MDA mfupi tena baadae mama ake kifaranga aliefariki (tetea), wakaona Kama nae kanyong'onyea sn hachangamki,Wakihisi nae keshang'atwa tayari, anaweza kufariki MDA wowote ule.

Kwahiyo ikabidi achinjwe haraka sana kabla hajafariki na kumpika.

Sasa wakuu,
Hapa sio Siri Moyo wangu umeenda mbio Sana, nmejawa na woga sana.

wataalam na wazoefu kwenye hili,

Naombeni ufafanuzi wenu tafadhali

View attachment 2641976
Nyoka weusi hawa wa nyumbani hawana sumu

Wanakupunguzia tu panya
 
Ila daah Laki tisa ya kodi ya mama J unashindwa kununua vyombo vya udongo jamani. Baba mwenye mji unatengewa supu kama wapiga debe kwa mama ntilie.

Pesa za bata kwa michepuko ungewekeza kwako wala wasingeendekeza umaskini wa kuvizia kuku wanaosinzia wageuke mbogaoopsss nipo nje ya mada.

Ngoja wataalam waje

Aisee unaona vitu vingi sanaa,Hapo ukute bakuri nzuri zipo kwaajili ya wageni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom