obrien daniels
Member
- May 4, 2022
- 44
- 61
Ndio unapata lakini mwaka wa mwisho uwezi kupewa maana budget ya Boom yako ni miaka mitatu tuu ivyo huo mwaka wa nne utajijua mwenyewe MkuuHabarini wanajamvi, nimewiwa kuuliza swali hili ili nipate ufafanuzi.
Mimi ninasoma degree NIT, nime retake somo mwaka huu wa pili, na pia nina mkopo kutoka loan board.
Je, ku retake huku kutaleta athari gani kwenye boom na mkopo wangu kwa ujumla?
Naomba ufafanuzi katika hili, ahsanteni sana.
Si nilisikia, wanasitisha boom lako then uki clear retake ndipo unaendelea kulipiwa ada ukishaingia mwaka wa nne?Ndio unapata lakini mwaka wa mwisho uwezi kupewa maana budget ya Boom yako ni miaka mitatu tuu ivyo huo mwaka wa nne utajijua mwenyewe Mkuu
Ikawaje mkuuNIT Ni wapuuz Sana ,niliwahi retake hapo
Ahsante sana kaka.! Nilikuwa nimeanza kufikiria kuacha chuo. Na je, kama somo nililo retake nitalisoma semester ya pili?Loan Officer atasimamisha boom ule mwaka ambao utakua nyumbani. Ukirudi baada ya kuclear iyo retake, yeye ata resume ule mkopo.
Ilikuwaje kaka? Ulilipia shilingi ngapi?NIT Ni wapuuz Sana ,niliwahi retake hapo
Ulikuwa na mkopo kutoka loan board?NIT Ni wapuuz Sana ,niliwahi retake hapo
Uki retake unaandika barua?Nina changamoto kama hii, UDSM, nimeandika barua ya ku-Retake mpaka sasa hakuna commitment yoyote
Unaipeleka kwa nani?Nina changamoto kama hii, UDSM, nimeandika barua ya ku-Retake mpaka sasa hakuna commitment yoyote
We noma MzeeRetake unailipia
Na other fees za mwaka huo utalipa
Boom utapata uki clear
Nusura ni retake ule uhuni niliocheza sio poa kubadilisha status ni hatari
Yeah thank God kwakweliWe noma Mzee
Unailipia retake pekee au na ada ya mwaka mzima unailipia?Retake unailipia
Na other fees za mwaka huo utalipa
Boom utapata uki clear
Nusura ni retake ule uhuni niliocheza sio poa kubadilisha status ni hatari
Nifafanulie hapo, mimi nimepanga nisipate boom mwaka wa ku retake.Ni ww uamue u stop au continue kupata boom.ila ukipta mwaka wa mwsho Amna boom ila ada inaweza amishwa.
Mwaka gani huo ilikuwa?Yeah thank God kwakweli