Mnafanya nini kwenye hiyo lenta?.Tuko kwenye lenta.
Mtahakiki hata sehemu za siriNyamaza wewe,tunahakiki viwonder hewa
Kwa maneno unaendelea vidhuli sanaTuliambiwa General Tyre Kitafufuka,Viwanda vya nguo kanda ya ziwa na mbeya vitafufuka,waliobinafsishiwa na kugeuza viwanda godowns watalazimishwa kuviendeleza laah! wapokonywe nk nk...
Ajabu sisikii tena huu wimbo wa ujenzi wa viwanda,vipi imeshindikana?, si ndo tuliambiwa hicho ni kipaumbele cha 5th phase govt?!
Tafsiri tafadhali!Wazaramo wanasema "Zilongwa mbali, zitendwa mbali."
But waliahidi watawashinikiza waliobinafsishiwa kuviendeleza lakini sioni dalili mfano Mbeya kuna Mbeyatex cha nguo,zana za kilimo zzk,kiwanda cha minofu, kiwanda cha majani chai Msekela,nk nk mikoa mingine hali ni hiyohiyo huko si ni kufeli pia, sikatai lakini iliahidi kufufua hivyo viwanda kwa namna inayojua yenyewe.Bado kuna swali."kazi ya serikali sio kujenga Viwanda, bali ni propaganda ili kushawishi wawekezaji waje wajenge Viwanda"