Kuusu uhuru nini nikama hivi ulivyokaa ukaamua kuandika kuuliza hivi uhuru nini kama kichwa Cha habari
Lakini maelezo ya swala lako hili sio swali tena yanaongelea maswala yanayo husu utwa kwenye ajira
Ila tu tambua sio kila ajira nimbaya tunaishi kwenye dunia iliyoenendelea zaidi Karne ambayo kujifaamu wewe ninani nijambo lamsingi zaidi kuliko kufanya tu chochote kinachowezekana kufanyika