Hivi ufalme wa BB(Blackberry) umeishia wapi??

Perfomance yao ni top of the line, gaming phone zina perfomance kubwa kushinda hizi flagship za kina iPhone, Samsung etc maana zinapozwa na mechanism kibao kuanzia mafeni, copper, aluminum na material mengine.
Mkuu wewe Ni mtaalamz hivi kwa hizi specs hiyo zte inaweza kuingia kweli,,?View attachment 1678977
Screenshot_2021-01-16-15-11-44-43.jpg
 
Duh nina muda sijafatilia infos zao, Kwaio asaiv wamekua biased kuunda simu mahususi kwa gaming tu?
Wana sub brand nyingi.

Hizo red magic zote ni gaming phone,

Simu zao za kawaida zina brand ya Axon,

Pia wana NUBIA ambayo ni kama redmi, au realme ambazo zinalenga wa wazee wa kitonga, bei ndogo specs kubwa.

Ila na wao ban imewadhoofisha sana, Hawana ukwasi kama Huawei.
 
Salam wakuu,
Habari za wakati huu? . Strait to the point, miaka ya nyuma kidogo simu Aina ya blackberry zilishika hatamu Sana. Wakati tuko vyuoni sifa ya pisi Kali au blazamen lazima umiliki BB. Pamoja na kwamba ilikua inakera hususani kwenye swala la kureboot unaweza ukalia mpaka simu iwake, lakini kilichowakamata wengi Ni BBM. Aisee, ile ilikua ndio swaga wakati huo. Manzi humuombi namba Bali BBM pin, mpaka kukawaga na ma BBM party etc. Sasa nashangaa saivi sizioni kabisa, nimejaribu kuingia play store naona hata BBM kutumia inabidi ulipie. Sasa sijui wakuu Kuna Nini kuhusu hii kampuni
Ulikwisha pale apple alipoingiza iphone sokoni, CEO wa blackberry wa kipindi hicho aksema hiyo simu haiwezi kufanikiwa itacrash network na haitokuwa inakaa na chaji. Alipokuja kushtuka sim inanunuliwa ka njugu akaamua nao watoe simu fasta wakatoa blackberry storm, ikawa bonge la failure simu ilikuwa na matatizo ile kama bomu.
kila baada ya muda wanasema wanarudi wanatoa simu, wanakaa tena wanasema narudi wanatoa simu yani washarudi kama mara tatu. Na hata hivyo jina limeuzwa kwa kampuni nyingine na hiyo kampuni ikaliuzwa kwa wengine.
 
iphone ya kwanza imetoka 2007,BB imeanza kufa 2010.

bb alifeli padogo sana,moja ya mistake ambayo nimeikuta,ilikuwa games na apps basic kabisa kama torch,na screen muncher(screeshot)ikuwa ni lazima uistall,wakati wenzake akiwepo apple waliishaziweka kama basic function.

yeye alitakiwa ashtuke mapema tu,na kukamata njia.
 
kuanza kushuka kwa Bberry kulianza baada ya kutoka iphone, mauzo yake ndipo yalianza kushuka kufa kamili akafa huo mwaka uliousema. Wao Bberry walihisi iphone haiwezi kutoboa walipogundua kuwa walikuwa wrong ilikuwa too late ku counter attack tena walifuatwa na mtandao wa verizon watengeneze iphone killer, wakawapa miezi sita bila kufanya research wala nini na muda mchache wakatoa blackberry storm lilikuwa bomu nilinununua ila nilijuta kwanza kwa tz internet yake ilikuwa inasumbua balaa, ilikuwa na kioo kina bonya bonya ukikiclick
 
Sahihi mkuu, enzi hizo htc one daah
Ile iliyokuwa inajiua yenyewe? Yaani unaizima usiku ikiwa buheri wa afya,asubuhi unabonyeza kitufe cha kuwasha unashangaa hola!! Unabonyeza hadi dakika ya sabini hii hapa,hola!!!! Ndiyo imekufa hiyo!! Halafu ukipeleka kwa fundi anaiangalia kama vile ameona kiumbe kutoka sayari ya jupiter
 
Kuna mahali nilikutana na smartphone ya blackberry nikasema kumbe hawa jamaa bado wapo duniani.
Ndiyo mkuu,hadi leo nina BlackBerry passport kabatini,ipo safi kama mpya,nilikuwa die hard fan wa BlackBerry,ila the wind of change was so strong to instill my toes in such a small crowded room,am still BB in the heart but in love with Samsung, pitty on me
 
Nikiachana na Nokia... enzi hizo hakuna simu nilikuwa naikubali kama Blackberry.. hata sasa nikiipata naihitaji.
Nilizipenda sana, sio fan wa simu ila BB ndo nilikuwa nikitumia tangu shuleni, Nilikasirika sana walipoamia android. Bb Wanazitoa ila zina android. Mm nina BB passport ipo kabatini kama kumbukumbu tu. Now nshazoea misumsung.
 
Upo kama mimi.. baada ya blackberry kufa nikaja kuzipenda Nokia lumia.. nikaona wanazingua nikaja kuwa mnazi wa Samsung mazima.
 
Nilizipenda sana, sio fan wa simu ila BB ndo nilikuwa nikitumia tangu shuleni, Nilikasirika sana walipoamia android. Bb Wanazitoa ila zina android. Mm nina BB passport ipo kabatini kama kumbukumbu tu. Now nshazoea misumsung.
halafu sijui android kuna nini!!!

nokia amehamia android anatoa simu utopolo kabisa.
BB nayeye alitoa simu mseto,ina bb OS ila inaingiza apps za android ilikuwa kiazi sio poa.
 
halafu sijui android kuna nini!!!

nokia amehamia android anatoa simu utopolo kabisa.
BB nayeye alitoa simu mseto,ina bb OS ila inaingiza apps za android ilikuwa kiazi sio poa.
Dunia inataka information controll, Android naona ni rahisi kupata hilo, yaani information zako zote zinakuwa kwenye mastore ya google huko.
 
Back
Top Bottom