Hivi UDOM ni chuo ch umma au CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi UDOM ni chuo ch umma au CCM?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Edson Zephania, Apr 15, 2011.

 1. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naomba wana jf mnisaidie.
  Nilipokwenda UDOM (University of Dodoma) kwa mara ya kwanza kuona chuo kikubwa ambacho kinavuma kwa kasi. Ukiwa unaingia getini utakutana na nembo kubwa ya CCM wakat vyuo vingne unakutana na nembo ya chuo husika, nikapata maswali bila majibu kua hivi Udom ni chuo cha Umma au CCM?
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Kile ni chuo cha umma lakini kuhusu hiyo nembo labda ni sababu ya jengo kuwa mali ya ccm kabla ya kukabidhiwa serikali. Sijui kama nimejibu vema
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,139
  Likes Received: 3,328
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe unaonaje!
   
 4. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ni vizuri waitoe hiyo nembo kama ipo, sijawahi kufika udom.
   
 5. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Huko nyuma CCM ilikuwa ndio umma - sasa kasumba inaendelezwa na watu wengine
   
 6. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #6
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hiyo nembo ni ya vyuma na imejengewa zege zito. Nilijaribu kuongea na mmoja wa wanafunzi akanambia wao walishajaribu kulifikisha hilo kwenye utawala tangu 2008, jibu walilopewa ni kua anaeweza akodi buldoza akaitoe ati wao hawawezi kuharibu mamilioni ya pesa.
   
 7. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  duh kaazi kwelikweli
   
 8. k

  kalechee Member

  #8
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UDOM ilianzia kwenye jengo la chimwaga ambalo ni la ccm,ndio maana hiyo nembo kuwepo hapo,ila ni vizuri ikaondolewa,by the way,siasa haziruhusiwh vyuoni
   
Loading...