Hivi uchunguzi wa kesi za makatibu wakuu hawa vipi?

Chibwera

Member
Oct 20, 2011
25
11
Waungwana naomba mnijuze uchunguzi wa kesi ya Mama Blandina Nyoni wa wizara ya Afya na mwenzake Jairo wa wizara ya madini na nishati maana sijasikia hatua zilizochukuliwa dhidi yao.
 
Waungwana naomba mnijuze
uchunguzi wa kesi ya Mama Blandina Nyoni wa wizara ya Afya na mwenzake
Jairo wa wizara ya madini na nishati maana sijasikia hatua
zilizochukuliwa dhidi yao.

TAKUKURU bado wako kwenye uchunguzi...
 
Ndio maana wizi utadumu kama kidumu chama cha majambazi!

Pamoja na tuhuma zote za Nyoni kweli "upepo umepita" sasa tupo na Mwakyembe na hiyo Jitegemee!!!
 
Back
Top Bottom