hivi uchawi kwenye mapenzi upo?

hivi uchawi kwenye mapenzi upo?

Broken soul

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
459
Reaction score
131
Habari za skukuu wapendwa! Natumai mmeenjoy vya kutosha

Back to the topic!!!!!!

Hivii kweli mtu anaweza akamroga mwenzake ili ampende??

Leo asubuhi nimekuta msg kwenye inbox Fb yangu from this dude, nsingependa kumwongelea sana; inasema hivii

"Wallahy km utaendelea hv me bora
nikakuroge uwe wng kabisa tena
nitakufunga kwa kila kitu ucckie kitu juu
yng upo tayari nifanye hv""

Dah hii msg imenishtua na kunitisha kidogo, hivii haya mambo yapo?? Nawezaje kuepuka na kurogwa jamany?! Au ni mkwara tu Nipo Njia panda

Worried soul!!
 
Ebwana dah
 
Hayo mambo yapo lakini kama wewe unaimani dhabiti mbele ya Muumba wako, mambo kama hayo hayata kutisha..
🙂🙄🙂
 
Nenda Jf Chef kapate namna Limbwata linavyopikwa na nawe upike lako ngoma iwe droo.
 
Si ndo wewe ulituambia you bikira!! anataka akubiriki!?
 
hizi mambo zipo sana na ndio maana vibinti wamama topu kwa waganga kufanyao
 
Uchawi upo kweny mapenzi tena mwingi tu. Ila mapenzi ya kishirikina huwa hayadumu milele. Yaani yana expire kutegemea na mtaalam alieshughulika na suala hilo. Zipo za mwaka, maika 2,5 mpaka 10. Ila unaweza ukajiwahi ukajikinga kwa sababu asikuambie mtu ndugu mapenzi ya dawa ni zaidi ya mapenzi ya kawaida. Mtu unavurugwa si mchezo. Naongea nna uzoefu yamenikuta.
 
Habari za skukuu wapendwa! Natumai mmeenjoy vya kutosha

Back to the topic!!!!!!

Hivii kweli mtu anaweza akamroga mwenzake ili ampende??

Leo asubuhi nimekuta msg kwenye inbox Fb yangu from this dude, nsingependa kumwongelea sana; inasema hivii

"Wallahy km utaendelea hv me bora
nikakuroge uwe wng kabisa tena
nitakufunga kwa kila kitu ucckie kitu juu
yng upo tayari nifanye hv""

Dah hii msg imenishtua na kunitisha kidogo, hivii haya mambo yapo?? Nawezaje kuepuka na kurogwa jamany?! Au ni mkwara tu Nipo Njia panda

Worried soul!!

Nakuelewa sana
 
Yapo... Nitafute nikupe kinga bila malipo.. Kikubwa ni kushika miiko
 
jhakuna cha dawa wala nn!! niliachwa na X nilikua nampenda kufa yaan sikuona thaman ya kuish dunian bila yy... nilitembea kwa waganga wa kila mkoa nilichoma dawa za kulala zinawaka lakin wapi.... asikudanganye mtu hakuna dawa ya mapenzi
 
HAKUNA. Na wala siamini kama kuna mtu yuko na mpenzi wake sababu ya dawa za mapenzi.
 
Back
Top Bottom